MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.