MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Bamboo juice 🐼😂Ukiombwa ushahidi kuhusu unayoandika unaweza kuutoa?
Muda mwingine ukikosa content sio lazima unandike nyuzi hovyo hovyo kama bwashee johnthebaptist mnywa ulanzi
usitukane kinywaji kitakatifu ulanziUkiombwa ushahidi kuhusu unayoandika unaweza kuutoa?
Muda mwingine ukikosa content sio lazima unandike nyuzi hovyo hovyo kama bwashee johnthebaptist mnywa ulanzi
Bamboo Juice 🤣🤣Bamboo juice 🐼😂
Content kwani JF Kuna Maridhiano?
Anaona aibu!! Anajuta kutousikiliza ushauri wa Familia akasikiliza ushauri wa Ntobi na WenjeHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
MTu noma sana lissuHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu kujaribu kuwashawishi wajumbe waliopo mjini.
Huyu Lissu anaonekana sio mgombea wa kawaida kabusa.
Hii kazi ya kufuatilia maisha ya mtu, hakika mnaiweza wachache. Yaani mtu unakaa kabisa kuchungulia fulani anasafiri kwenda mahali fulani, kila mwaka!Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Hoja dhaifuHuku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.