Endelea nao tu..si ndiyo umechagua kuishi ivyo.
[emoji1787][emoji1787] Aje atupe ushuhudaSiku ukipoteza wote uje hapa uanzishe uzi tukupe pole....#Badounanishauriharusi?
😂😂Watajijua wenyeweWakijuana na kuamua kumfanyia mtungo nani wa kulaumiwa? Si ajabu kila mmoja anajiona kapata kweli!
waombe hela, atakaye chelewa muacheSikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Vipi wote washakula ?Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Bado ana akili za mwanamke mmoja na mwanamme mmoja, unataka mfananisha na ww, ushajua hapa duniani ni kuvurugana tu, tutajipanga mbinguni[emoji16][emoji16][emoji16]Kuharibika kiaje
Na unavyopenda Dry -Chama kwa Mwalimu we haya.... endelea kuterezesha!!!Ukimwi unaweza ukapata hata ukiwa na mmoja
Nahisi huyo wa kwanza ana upungufu either wa pesa au kugegeda... angekuwa navyo vyote usingeenda kwa wapili...Sidhani kama naeza kuwapoteza wote kama kupoteza labda mmoja
Dah i wish wanawake wote wangekuwa kama wewe...hamna unafiki unasema ukweli tuu wa mambo....Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Chagua wa 2,maana kama ungempenda wa 1,usingemchagua kupenda wa 2.Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Ila imani yangu,kwako ni kuwa wewe wa PEKE ANGU.Wengine Wana wanaume saba na ni kawaida, wewe Bado underground kwenye hii sector nini?
Kwakuwa unatafuta experience kuchek yaliomo yamo!? Basi jitahid USIJIFANYE UNAWIVU WALA KUSHIKA CM YA MWENZIO...akigundua unamcheat alaf unaleta unafki wa kujifanya unawivu....hao wakimnya wawili....Mmojawapo ATAKUSABABISHIA KILEMA CHA MAISHA.Inawezekana lakin sidhani. Huyu wa kwanza sio mtu wa kujichanganya na watu muda wake wa ziada kama hayuko na mimi basi yuko home au kwa wazazi wake. Angekua na mwingine ningejua.
Hahahahahhaahha hahhahha aiseeee ,ingewezekana ningekurushia ka-Mpesa unywe soda.Dada yangu inaanzaga hivyo hivyo halafu baada ya muda utaanza kuona TZ kuna tatizo la vibamia.