myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee..Anakuzuga huyo....pesa ndo pumzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..Anakuzuga huyo....pesa ndo pumzi
Ndugu yanguuuuu! Temea mate chini.Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini.
Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.
Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya kutatulia shida zenu. Pambaneni kama sisi wanaume.
Kariakoo sio mahali pote pamejaa kelele.dah dunia ina visa kwakeli , kwahiyo tu imagine mtu anaeishi k/koo anaeamshwa na makelele😅...ulivyapaongelea unafikiri mtu anaishi mahala gani
OkKariakoo sio mahali pote pamejaa kelele.
Kuna sehemu zimetulia wewe
MamboAisee..
Kuna wakina dada wanachakalika mkuu, wanapiga kazi kama hawana akili nzuri. Nimeshuhudia wawili. Mmoja kwenye mgahawa, mwingine anaka shop kake tu ka uongo na ukweli. Nimefuatilia mahali wanapoishi, nimegundua ni wa kawaida sana kimaisha!Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini.
Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.
Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya kutatulia shida zenu. Pambaneni kama sisi wanaume.
dah dunia ina visa kwakeli , kwahiyo tu imagine mtu anaeishi k/koo anaeamshwa na makelele[emoji28]...ulivyapaongelea unafikiri mtu anaishi mahala gani
Hao ndio wanawakeMimi Kuna mwanamke miaka miwili hakuwahi kuniomba Hela hata mia mbovu
Tena ni kada ya ualimu Wala sio tajiri kivile, ukimpa Hela anakataaa. Hapokei Pesa labda umnunulie kitu umpe
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eehe za kichwaaa...Ndugu yanguuuuu! Temea mate chini.
Hivi ninavyoongea nimenuniwa Leo siku ya 5. Nilimpata Demu akawa na maelezo yeye ni tofauti na waawake wengine wanaoombaomba hela, yeye haombi Mwanaume akitaka amhudumie mwenyewe siyo kumsumbua na mizinga kila mara, kwanza yeye ni mjasiriamali anauza nguo za kike za kukopesha, yaani yalimtoka nikajua nimepata. Nimekaa naye mwezi mzima nanunua vitu vidogo vidogo maana formula yangu ni NOT MORE THAN 10. Siku moja ghafla anakuja na huzuni, Dear mzigo wangu umekwama Dar mwenye duka ananidai 540,000/- naomba unipush! Na kweli nimempush!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Suala la mudaa tuuKuna wakina dada wanachakalika mkuu, wanapiga kazi kama hawana akili nzuri. Nimeshuhudia wawili. Mmoja kwenye mgahawa, mwingine anaka shop kake tu ka uongo na ukweli. Nimefuatilia mahali wanapoishi, nimegundua ni wa kawaida sana kimaisha!
Huyu wa hotel nimejaribu kumtupia nyavu, kakubali, nikampatia elfu tano ya vocha akaikataa!
Kuna baadhi ya wanawake kama hawa wanatakiwa kusainiwa rasmi kwenye kundi la watu, tuwatoe kwenye kundi la vitafunwa!
binadamu tuko na mitazamo tofauti aisee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]tena karudia mara mbili kama sifa vile jaman
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimejikuta nacheka mwenyeweAmka upo ndotoni
insults kwa wadada wa mbeya na humu nahisi hawapo sijaweza kumu imagine mdada wa mbeya uswaz atumie JFAnakusubiri uingie kumi na nane, utatamaji uishi na mdada wa uswazi ya Mbeya.