Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

Sasa kumbe namba uligawa mwenyewe,,


Hapo vijana hawana shida,shida unayo wewe.
 
Mfumo wetu wa maisha sera zetu mbovu zinatufanya tuwe hvyo umaskini ukosefu wa kazi
 
Siku akili zikikomaa wataacha tu, ni ajabu zaidi kukuta jitu zima kabisa above 30 kutafuta hizo connection.

Kwanza hazina maajabu, itakua sio ajahu kwa vinaja wanaobalehe kuzitafuta hizo connecyion lakin kwa mtu mzima ni huzuni saaana.
 
Nyuchi zinatupunguzia stress tunaishi vizuri sana kama wa kwako upo karbu tuma DM

Au hata kama ulijirekodi na shemeji we tuma tu me napenda
 
 
Taikon pole ila endelea kupaza sauti. Mara ya kwanza kusikia hili neno nikawaga najiuliza ndo nini. Kuja kuelezewa nikashangaa sana. Kwamba mimi nikae kutafuta video za watu wakinjunjuana ili iwaje. Naenjoy nini kwa mfano.

Upande wa pili jamani haya magroup ya whatsapp. Kuna watu wako kwenye magroup 20 kidogo ukicheki ya maana labda 3 mengine yote upuuzi humo. Ndo maconnection yanasambaa humo. Ivi umewahi kujiuliza nini umuhimu wa magroup uliyokuwemo. Yamekusaidia nini mpaka leo.

Ukweli usemwe ukijiona umo kwenue group ambalo uko katika shida au dhiki ya ugonjwa, kuuguza, msiba, changamoto ya kazi na huna hata mmoja wa kumtafuta akuinue au group likuletee tija..haloooo. Tafakari mkuu...

#neemaitufikietuamkekatikahikikiza#
 
Hawa vijana sasa hivi wananipopoa Kwa maweπŸƒπŸƒπŸƒ.
Hawajali wala nini, na Mimi lazima niende nao vile watakavyo. Dawa ya Moto ni Moto. Sijalk wala niniπŸ˜‚
 

Huwezi amini hakuna kitakachoendelea.
Niamini
 
Ukitaka upate followers kwenye mtandao wowote, we post tu mambo ya connection, mpalange na umbea utakamata watu sana.
 
Alikuja member hapa na issue ya soulmate haikuchangiwa.Ila angesema wametimuana Uzi unge jaa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…