Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu

 
Duh no hatari sana mkuu haya mambo ni shida. Mahenge kule kuna mganga anaua sana yani jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa
 
Duh no hatari sana mkuu haya mambo ni shida. Mahenge kule kuna mganga anaua sana yani jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa
Kama hutojali weka majina ya kijiji alipo.
 
Umenikumbusha kisa kama hiki chako, mkulima na mfanya biashara ya mazao alijikusanya akapata pesa ya kununua fuso tandamu basi kuna tajiri mmoja alikuwa na fuso za kutosha, jamaa akamwomba amuuzie moja tajiri akamwambia chagua unayotaka tufike bei, baada ya kuchagua na kukubaliana bei jamaa akamwambia atamtuma fundi wake aje akague gari,baada ya siku fundi akaja akaonyeshwa gari ila akaabiwa asimwambia jamaa yake kuwa gari ni choka mbaya na tajiri angemkatia pesa ya maana. Mwisho wa siku fundi akatoa report kwa jamaa yake kuwa gari iko njema kbs na asiwe na shaka, ikabidi jamaa alipe na gari iletwe kwake. Kilichotokea sasa gari hata kufika mkoani kwa mnunuzi haikufika ingawa ni mikoa jirani, jamaa kumwuliza tajiri mbona hivi kulikoni tajiri akaleta madharau na kumwambia biashara ilishafanyika mimi hiyo hainihusu sana sana mwulize fundi wako, jamaa kumwuliza fundi analeta story zisizoeleweka. Jamaa kuona analetewa madharau na.story za ovyo akawambia basi sawa hata hiyo gari acha iishie hukohuko hata kwangu isifike ila mtanitafuta na hamtaniona. Kilichofuata baada ya hapo ni majanga, kwanza alianza na fundi akiwa garage ndani ya dakika kidogo alipatwa na maradhi yasiyoeleweka akakata moto, habari zikamfikia tajiri ile anajiandaa kwenda kuuliza vizuri nini kimetokea macho yote mawili yakaingia ukungu na kushindwa kuona kabisa akajuwa kimenuka dawa ni kumtafuta mwamba tuyamalize tafuta mtu wapi hapatikani, tafuta mashahidi waliomsainia mwamba kwa ahadi za kupewa pesa ndefu kama wakimleta jamaa na kuahidi ku.fidia jamaa fuso mbili zaidi jamaa bado hakupatikani. End of rhe story ni kuwa fuso zote za tajiri zilipukutika moja baada ya nyingine,biashara zake nyingine zikayumba na mwisho tajiri akaja kukata moto. So hii mambo ipo tuepuke sana kufanya mambo ya dhuruma na kuzarau wengine kwa kujiona wewe ndio mwamba hamna wa kukutisha. MUNGU yupo na Shetani yupo.
 
ila kiukweli kuna watu wana roho mbaya mpk shetani anashangaa huyo mjeshi muache tu mungu atakulipa
 
Ili dhambi zako za kwenda kuua mtu nizipate Mimi sio? Mafi yako.
Wewe shoga acha kuingilia mijadala ya kiume kama ulilijua hilo kimekuwasha nn kusimulia hapa
 
Wewe shoga acha kuingilia mijadala ya kiume kama ulilijua hilo kimekuwasha nn kusimulia hapa
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Huyo mwanajeshi ni mimi,oya classmate kumbe ulinipiga kipapai nisamehe mwanangu sitarudia ntakununulia boda mpya,mkono huu utaniua
 
Fanya kila kitu ila usiue, usidhulumu, usiroge mtu. Kaa mbali na wanawake. Utakiponya kizazi chako
 
Mkuu uchawi ushirikina na mambo kama hayo hayajuagi haki na ndio maana katika imani tunashauriwa tusiitegemee uchawi kwani mwisho wake sio mzuri.

Naye akiamua kulipa kisasi basi kinakukuta hata kama hauna hatia, uchawi haujui haki.

Hapo umeingia kwenye mchezo mbaya sana omba Mungu nae apate Akili na busara, akikosa hekima kama ulivyokosa wewe unafikili nini kinafuata.

Ungesamehe tu na kuna siku huko mbeleni angekuja kukuheshimu si unajua maisha haya bado tunajifunza kuna situation tunapitia zinatukomaza na kutufunza(maturity).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…