Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Asante kibaraka!! Umesomeka
 
Mabeberu ni wakina Nani? Tuanzie hapo
 
Pingamizi hili ungepeleka NEC huku umekosea njia hautafaidika.
 
Lissu kafanyiwa Figisu gani? Toka amekuja hapa Tz tokea kwa hao mabeberu waliokuwa wanamtunza anafanya makosa tu wanamchekea. Alizusha uongo kuna njama za kumuua kwa sumu, unadhani sio kosa?
 
Hii ni kauli ya kibaguzi, inatakiwa kupuuzwa

Mabeberu Ni watu gani au umekariri
 
Kule Zimbabwe Kuna hali ngumu sana ya Maisha
Hali isiyovumilika..
Hali inayotisha kabisa..
Watu wanakufa na wenye fursa wanakimbia Nchi yao
Huko Kuna UPINZANI wenye nguvu kuliko TANZANIA, kati ya ZANU-PF na MDC
Njia pekee inayowabakisha ZANU-PF madarakani ni baada ya kuona MDC Ina elements za UKIBARAKA. Wananchi wamegoma kuwapa MDC chini ya Morgan Tsvangirai, KIBARAKA, japo kwa hakika walimchoka Mugabe, na alipotaka kumuachia mkewe amrithi, Wananchi waligoma wakaungwa mkono na Jeshi. Wakamtoa Mugabe wakampa Munangagwa.
Kwa TANZANIA Lissu kaanza vibaya sana, na commoners wanamuona kama KIBARAKA, hivyo hawatompa kamwe.
Bado JPM ataonekana kwa wengi Kama SHUJAA na Lissu ni KIBARAKA tu.

Hii ndio karata kubwa ya JPM dhidi ya LISSU kwa sasa
 
Tuache unazi wa vyama tuseme kweli huyu Lisu kama ingekuwa wakati ule wa Harakati za Ukombozi Kusini mwa Afrika na maneno yake ya kusema anasaidiwa na Wanasheria wazungu walah tungekuwa tushampiga mawe kama kibaka tu mtaani. Mi sielewi hata vipi Chadema wanamruhusu anazungumza hadharani hayo!!! Yooote fanya lakini kutegemea mikono ya wazungu kukusaidia kupata Uraisi hilo ni uhaini mbaya sana. Sio siri Lisu kibaraka...
 
Huyu kijana kaja humu kwa kazi maalum, mpuuzeni tuu.
 
Nyingi wana Lumumba Mmezoe kuishi bila kubila ya kutumia ubongo
 
Tz ya sasa kila mtu ni kibaraka isipokuwa TL tu. Wewe uliyeandika hii post ni kibaraka ila ni kibaraka unaenufaika na mfumo huu inawezekana hata watoto wako ushawaamnukiza ukibarama wako.

Makazini wamejazana vibaraka, masokoni kumejaa vibaraka tupu. Hata kwenye familia wamejazana vibaraka.
Vyuoni ndo usiseme imejaa mivibaraka kibao.
Mashuleni walimu duh wako wengi pamoja na shida zao lakini mibibaraka kibao!

Hakuna wa kubadili hali hii zaidi ya TL ambaye sio kibaraka!
 
Yote uliyosema ni sahihi kabisa. Lissu ni mhombea kibaraka, lakini HAWEZI kufua dafu mbele ya JIWE!
 
Duuu yaaani kutafakari umaskini tulioletewa na hawa madhalim ccm hautaki unakuja na huo ushuzi wako.
 
Chief, Magu anashida very very very soon! Tutaleteana nyuzi hapa, tuombe uzima
 
Na bado hamjanena kwa lugha, Lisu atawatoa makamasi kama yote.

Vipi asili ya jiwe unaifahamu vizuri atokako?
Hana impact yule. We utaona, angalia record zote za Magu vs tl. huwa tl anachemka hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…