Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi

Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.

Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.

Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.

Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....

Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.

TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
 
Hilo si ombi bali ni amri, serikali haiwezi kukupa credit kwa hilo, so hata kama walitaka kumtoa, wataongeza muda ili isionekane wewe unefanikiwa kushinikiza, pls elewa siasa ni kama mchezo wa Chess
 
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi

Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.

Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.

Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.

Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....

Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.

TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hekalu jeusi ndio kitu gani?
 
Huwa pia unawaombea watuhumiwa wengine wanaotuhumiwa kwenye kesi za jinai?.Au wewe ni mahsusi kwa Lisu?. Wacha sheria ichukue mkondo wake akiwa hana hatia atatoka akiwa na hatia atahukumiwa na kupewa adhabu inayostahili.Mahakama za nini ikiwa watu watakuwa wanaombewa.
 
Back
Top Bottom