stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Mhhhhhhh!Hizi ni hisia kwanza..Mwenyewe alisema nafanya uhaini na nitafungwa... sasa si huyu anajua mpango mzima

Wana masikio lakini hawasikiiAnaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.
Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.
Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.
TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Mkuu tunatarajia impact.Anaandika, Robert Heriel