Unataka kusema watanzania hao ambao wanasema sheria ifuate mkondo wake basi awana akili?Jiandae kurudi kivingine mkuu. Hawa akina Mwashambwa wameziba masikio. Hili ombi limetolewa na ULAYA, TEC, SENDEKA, HECHE, WATANZANIA WOTE WENYE AKILI TIMAMU KAMA WEWE. TLS, POLEPOLE, GWAJIMA, NK NK, Lakini JK amekataa.
AiseeWasipomtoa utafanya ulichokifanya mwaka 1972 na usilaumiwe.....
Mikwara mbuzi kama hii imetolewa mingi sana lkn haina impact yoyote kwa ccm. Alianza kuitoa Mwabukusi, akaja Gwajima na Polepole na wewe unatia nakshi tuBaada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Acha kutafuta umaarufu eti mara ya mwisho. Nenda mwambie jaji siyo umejificha humu km msukuleAnaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.
Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.
Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.
TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
"Maana hao hata si member humu". Yeye mwenyewe chura kiziwi a.k.a hangaya, aliwahi kusema kwamba huwa anapitapita humu JF. Na kusoma habari za uhakika humu, hakuhitaji uwe member. Mimi nilianza kupita humu kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga rasmi.We si uende pale tuwape huo Ujumbe.
Hapa unatupigia makelelele tu, maana hao hata si member humu.
Sema kipenzi cha baadhi ya watanzania mimi Lisu sio kipenzi changuMh:T. Lissu kipenzi cha Watanzania, amewekwa kwa sababu ya kututetea wanyonge tusio na sauti. Taikon fanya kitu.
Huenda ikawa hivyo. Lakini liko wazi sana. Lissu yupo ndani kwa hofu ya watawala kuipunguza nguvu ya NRNE. Maana mpaka sasa kazi ingeshaisha.Unataka kusema watanzania hao ambao wanasema sheria ifuate mkondo wake basi awana akili?
Hizi ni hisia kwanza..Mwenyewe alisema nafanya uhaini na nitafungwa... sasa si huyu anajua mpango mzimaHuenda ikawa hivyo. Lakini liko wazi sana. Lissu yupo ndani kwa hofu ya watawala kuipunguza nguvu ya NRNE. Maana mpaka sasa kazi ingeshaisha.
Huenda ikawa hivyo. Lakini liko wazi sana. Lissu yupo ndani kwa hofu ya watawala kuipunguza nguvu ya NRNE. Maana mpaka sasa kazi ingeshaisha
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.
Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.
Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.
TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Na asilete vitisho, ye nani?Hawatamuachia
Uimara wa serikali ni wananchi mkuuHilo si ombi bali ni amri, serikali haiwezi kukupa credit kwa hilo, so hata kama walitaka kumtoa, wataongeza muda ili isionekane wewe unefanikiwa kushinikiza, pls elewa siasa ni kama mchezo wa Chess
Nafikiri itakuwa jambo jema ukisema utarudi kufanya nini, ili tuwe mashahidi kwamba ulisema isipotekelezwa amri/ombi lako utafanya deshi and deshiAnaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.
Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.
Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.
TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hao wakumuachia ndio naongelea."Maana hao hata si member humu". Yeye mwenyewe chura kiziwi a.k.a hangaya, aliwahi kusema kwamba huwa anapitapita humu JF. Na kusoma habari za uhakika humu, hakuhitaji uwe member. Mimi nilianza kupita humu kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga rasmi.
Taka taka huwa zinatoka sehemu gani ya mwili wako?Takataka
Endelea kuandika mambo yako tuliyokuzoea, hizi za unabii koko na matisho waachie wenyewe. Lissu ataachiwa na Mahakama iwapo atashinda kesiAnaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.
Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.
Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.
TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Bwana alimwambia Musa waambie watu wanyamaze kimya washuhudie matendoAnaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na ombi la amani. Ambalo lilitakiwa kufuatwa kwa heshima na sio kupuuzwa.
Sasa kwa heshima ileile lakini yenye kusihi sana. Zikiwa zimebakia siku 5 kufikia septemba saba. Naiomba Serikali na Wahusika wote wa jambo hili. Wamruhusu huyo Lisu atolewe gerezani kabla ya septemba 7.
Baada ya hapo hakutakuwa na ombi jingine na hiyo itamaanisha Ombi langu, kama mtibeli licha ya heshima limepuuzwa na limedharauliwa.
Na nini itakuwa matokeo ya kudharau ombi hili. Baada ya septemba 7, nitarudi humuhumu kwa heshima ambayo haitakuwa ileile....
Jambo hili lisichukuliwe kisiasa.
TaikonMaster
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
hiyo ni dhana yenye nguvu sana, kama mazingira ya vyama vingi yanawafanya wananchi waweze kubadilisha serikali kupitia uchaguzi.Uimara wa serikali ni wananchi mkuu
Ukipuuzwa na wananchi, serikali hiyo haitofanya kazi na itakuwa ni butu kuliko ncha ya mwichi
Wananchi ndio serikali yenyewe chief