Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

Wana masikio lakini hawasikii
 
Atarudi huyu mwamba. Sina mashaka nae..si unajua yupo Tanganyika huko ambako JF imefungiwa.

Ama baada ya siku 90, ama aende hata Pemba ndiyo atatupatia andiko lake la baada yale maombi kupuuzwa.
 
Mkuu tunatarajia impact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…