Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huwa wanajiona na waarabu fulani hiviHiyo dini ya hapo ni kikwazo cha utalii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanajiona na waarabu fulani hiviHiyo dini ya hapo ni kikwazo cha utalii.
sahivi hawana shida pesa zinachotwa toka bara zinaenda kufanya maendeleo ZanzibarZanzibar wamepata wageni wengi mpaka wameona waweke vipengele Afrika tuna matatizo sana...
Kupata watalii sio lazima mziki hebu tuwe wabunifu
Mtalii anataka kujifunza culture za watu tofauti kama ni mziki wameuacha kwao pia
Imewapumbaza fikra hata wasomi, ila watu ndio tatizo kubwa zaidi.Hiyo dini ya hapo ni kikwazo cha utalii.
Afande Haji mlimuachia huru pamoja na clip akiliwa kalio eti hamna ushahidi!! Uchoko mnaona sawa mziki mnakataa
Dar ni sehem ya pwani na zanzibar pia ni maskani ya machokoule msakomsako wa makonda wa mashoga Dar nao uliishiaje kipindi kile? mbona wote walioshikwa waliachiwa mwisho?
Dar ni sehem ya pwani na zanzibar pia ni maskani ya machoko
Yaani wanachafua majahazi yetu na hiyo bidhaaHakuna kitu. Kelele zisizo maana, mimi najua kampuni inapeleka box 300 kil week za pork product zanzibar, zinapita bandarini, wazi, kweupe, hii sheria ya pork Zanzibar yenyewe haitekelezeki, hizi nyingine ndo kabisa.
Utamaduni wenu wa ushoga uko kanda yote kumbuka km 20 zote za ukanda wa pwani ilikuwa milki ya sultankwa hiyo Dar ipo Zanzibar?
Utamaduni wenu wa ushoga uko kanda yote kumbuka km 20 zote za ukanda wa pwani ilikuwa milki ya sultan