Kwa Marufuku hizi za Zanzibar ni wakati muafaka wa Mikoa ya Pwani kukamata fursa ya Utalii

Kwa Marufuku hizi za Zanzibar ni wakati muafaka wa Mikoa ya Pwani kukamata fursa ya Utalii

Afande Haji mlimuachia huru pamoja na clip akiliwa kalio eti hamna ushahidi!! Uchoko mnaona sawa mziki mnakataa

ule msakomsako wa makonda wa mashoga Dar nao uliishiaje kipindi kile? mbona wote walioshikwa waliachiwa mwisho?
 
Hakuna kitu. Kelele zisizo maana, mimi najua kampuni inapeleka box 300 kil week za pork product zanzibar, zinapita bandarini, wazi, kweupe, hii sheria ya pork Zanzibar yenyewe haitekelezeki, hizi nyingine ndo kabisa.
Yaani wanachafua majahazi yetu na hiyo bidhaa
 
Utamaduni wenu wa ushoga uko kanda yote kumbuka km 20 zote za ukanda wa pwani ilikuwa milki ya sultan

sasa unalalamikia nini Zanzibar wakati na tanganyika nanyinyi pia mumo kundini ? au ukanda wa pwani sio Tanganyika?
 
Back
Top Bottom