GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria (japo Ulibahatisha) Kumfunga Kwao (huku Wewe leo ukiwa Nyumbani) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na Michuano hii ya CAFCC Marumo Gallants FC?
Kutokana kuwa na Ndugu na Marafiki zangu kutokea Mji wa Limpopo inakotoka Klabu ya Marumo Gallants kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mshabiki wao Tukuka na ikitokea wakaja Kutalii hivi Karibuni nchini Tanzania hasa kwenye Vyura Wengi wa Jangwani nawaahidi nitawapa Ushirkiano wote ili wakirejea Kwao wawe na Furaha ya Kukamilisha Jambo lao katika Ardhi ya Tanzania.