Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria ( japo Ulibahatisha ) Kumfunga Kwao ( huku Wewe leo ukiwa Nyumbani ) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na Michuano hii ya CAFCC Marumo Gallants FC?

Kutokana kuwa na Ndugu na Marafiki zangu kutokea Mji wa Limpopo inakotoka Klabu ya Marumo Gallants kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mshabiki wao Tukuka na ikitokea wakaja Kutalii hivi Karibuni nchini Tanzania hasa kwenye Vyura Wengi wa Jangwani nawaahidi nitawapa Ushirkiano wote ili wakirejea Kwao wawe na Furaha ya Kukamilisha Jambo lao katika Ardhi ya Tanzania.
Wachawi utawajua tu🤣
 
kihoro cha yanga kutinga nusu fainali kinakufanya ubwabwaje

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mbona unateseka hivyo??
Mbona tushakuzoea ulishSemaga yanga hawataingia makundi,
Leo hii unasema itafungwa tena.
Hivi Huna chakufanya?? Hivi broo kweli una kazi??ulishaachaga kushinda karume??nakujua fika hunipi tabu,utawasumbua hao wasiokujua sio mimi professor,
Na hao watu waliokupa ushindi kweli nao hawajielewi
Sasa kama Mimi ni Basha wako Punga kama Wewe utaachaje Kunijua hadi kujua Kijiwe changu cha Karume?

Pumbavu.
 
Hivi mbona unateseka hivyo??
Mbona tushakuzoea ulishSemaga yanga hawataingia makundi,
Leo hii unasema itafungwa tena.
Hivi Huna chakufanya?? Hivi broo kweli una kazi??ulishaachaga kushinda karume??nakujua fika hunipi tabu,utawasumbua hao wasiokujua sio mimi professor,
Na hao watu waliokupa ushindi kweli nao hawajielewi
Kumbe anashindaga Karume
 
Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria (japo Ulibahatisha) Kumfunga Kwao (huku Wewe leo ukiwa Nyumbani) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na Michuano hii ya CAFCC Marumo Gallants FC?

Kutokana kuwa na Ndugu na Marafiki zangu kutokea Mji wa Limpopo inakotoka Klabu ya Marumo Gallants kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mshabiki wao Tukuka na ikitokea wakaja Kutalii hivi Karibuni nchini Tanzania hasa kwenye Vyura Wengi wa Jangwani nawaahidi nitawapa Ushirkiano wote ili wakirejea Kwao wawe na Furaha ya Kukamilisha Jambo lao katika Ardhi ya Tanzania.
Utawapa ushirikiano wote wape na kinyeo
 
Back
Top Bottom