Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

Bahati nzuri umechagua upande mapema atutaki Malumo wako wakipelekewa moto uanze kusema ni timu dhaifu, tunajua mna stress sana lakini ndio maisha ukichagua boga inakubidi upende na ua lake
 
Le Dr popoma upo omba Kaz wew must acha kuandiak upopo hapa
 
wape kila ushirikiano yanga haijali

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Utopolo mmedandia mtumbwi wa vibwengo....
 
Kwenye ukweli tuusemee hata km unaumiza.

Yanga kufika final ni lazima, tena akichanga karata vizuri ananyanyua kwapaa.

Ktk team zote zilizoingia Semi yenye uhakika wa kutwaa kombe ni hii Yanga, labda km final ataingia FAR Rabbat hapo atapata ugumu kidogo.

Ila ukweli ni kwamba Yanga Final ni lazima.
 
Natambua Mafanikio ya Yanga SC na hata Wao Wakiongozwa na Rafiki yangu mkubwa sana hapa JamiiForums Bila bila Wanajua na Wiki iliyopita niliandika Uzi hapa wa Kuwasifia.

Ninachofanya hapa ni Kuwachokoza tu wana Yanga SC na Kuwatania ili nao Wanitanie na wanipige Madongo yao ili Nicheke na Kiukweli Comments zao hapa zinanifanya nicheke mno.

Ni mwana Simba SC Mpumbavu tu pekee ndiyo atabeza Mafanikio haya ya Yanga SC hata kama anashiriki Kombe la Shirikisho ( CAFCC ) ila Ukweli ni kwamba Yanga SC jana kwa Kufuzu Kwao Nusu Fainali ya CAFCC Wameiheshimisha nchi na Wametuheshimisha na Watanzania Wote ( wana Simba SC ) tukiwemo pia.

Hongera Kwao.
 
Kosa ubishane hoja za mpira unaanza matusi , tubadilike kwani lipi kosa la mtoa maada?
Natukanwa mno na sana na Wapumbavu pamoja na Wendawazimu wengi hapa JamiiForums kwakuwa tu Mwenyezi Mungu ameniumba kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mkuu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…