Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

Hawa waSouth watapokea kipigo kikubwa saaana kutoka kwa Yanga. Ukumbuke kuwa hao jamaa muda huu wanapigania kutokushuka daraja kwenye ligi yao ambayo kwa ranking za CAF unashika nafasi ya chini kulinganisha na ligi ya kwetu. Sasa Yanga anaongoza (na anatarajia kuwa bingwa) kwenye ligi kubwa anapambana na timu inayopigana isishuke daraja kwenye ligi ndogo, what do you exoect?
 
Dua la kuku halimpati mwewe ! Pole sana Mr robo + robo + robo+ robo = 1 kg. Ukiona unaanza kuota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi.
 
Hangaika tu na roho yako Yanga Ile inaleta kombe la shirikisho linakuja kuwaheshimisha Watanzania ukiwemo wewe.
 
Naona mmeanza kuwakimbia wafa kiume wenu kisanyansi.
 
Sasa apa ndo umeongea kama mkomavu wa soka letu ninavyokufahamu kupitia nyuzi zako humu. Big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…