Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

Kwa taarifa yako ndugu kufa kiume fc aka mikia aka makoloni bado sisi mabingwa wa kihistoria tupo kwenye trible! [emoji116][emoji116][emoji460][emoji460][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Na hili ni popoma kweli kweli..
Hua linalipuka tu kama mabomu yalio sahauliwa miaka mingi ardhini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…