Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

hahahaha! hivi Zitto Kabwe ndo mgombea Urais kupitia chama chake alipata 0.3%? siku akifikisha 1% ruksa waungane, kwa sasa utakuwa unamtania tu.
Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini sio kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM, Nashauri Zitto na Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla wagombe urais na umakamu wa rais nawahakikishia mtashinda.

Membe hawezi kushinda urais hata siku moja maana hatakuwa na backup ya nguvu ya umma kama itakavyokuwa kwenu.

Najua kuna vijana wa makumbusho wanakufata wakikwambia umchukue membe ila nakuhakikishia wanakuingiza mtegoni kama ilivyokuwa kwa Lowassa na chadema. Lissu na wewe ndio mna % kubwa ya kushinda urais mwaka huu. kubali uwe Makamu wa Rais, Lissu awe Rais.

Nyaraka zinawabeba other wise msije kuwalaumu watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu MHESHIMIWA John Pombe Magufuli anamiaka mitano iliyosalia kutawala hapa Tanzania. 2021-2025.

Au umesahau? Halafu binafsi sioni wa kum replace kwa sasa. Amejitahidi sana. Pongezi kwake.

Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM.

Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda.

Membe hawezi kushinda urais hata siku moja maana hatakuwa na back-up ya nguvu ya umma kama itakavyokuwa kwenu.

Najua kuna vijana wa Makumbusho wanakufata wakikwambia umchukue Membe ila nakuhakikishia wanakuingiza mtegoni kama ilivyokuwa kwa Lowassa na chadema. Lissu na wewe ndio mna % kubwa ya kushinda urais mwaka huu. Kubali uwe waziri mkuu, Lissu awe Rais.

Nyaraka zinawabeba otherwise msije kuwalaumu Watanzania.

kwa utapeli ule wa UKAWA hawa upinzani sio watu wa kuaminika kabisa, wanahitaji muda zaidi kujijenga kisera na kiitikadi. Safari ya matumaini kupitia UKAWA ilizisambaratisha kabisa CUF na NCCR mageuzi. Mpaka leo hakuna kiongozi aliesimama kuongeleea ile sinema na hatma ya UKAWA. Kati ya Lisu na Kabwe hakuna mwenye mvuto wala sifa ya kuwa rais wa JMT. Hapa ndio atakumbukwa dr Slaa
 
Servants wa mabeberu
Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM.

Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda.

Membe hawezi kushinda urais hata siku moja maana hatakuwa na back-up ya nguvu ya umma kama itakavyokuwa kwenu.

Najua kuna vijana wa Makumbusho wanakufata wakikwambia umchukue Membe ila nakuhakikishia wanakuingiza mtegoni kama ilivyokuwa kwa Lowassa na chadema. Lissu na wewe ndio mna % kubwa ya kushinda urais mwaka huu. Kubali uwe waziri mkuu, Lissu awe Rais.

Nyaraka zinawabeba otherwise msije kuwalaumu Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, this is a good and very strategicall combination. Lissu ni dare devil can say, do and face anything, anyone.
P
 
Hapa ndipo sehemu muhimu sana ambapo wapinzani huwa wanakosea,huwa wanafeli kwenye uchaguzi wa nani anaweza kuaminiwa na wapiga kura.

Kuna wakati wanaweza wakachanganya bifu za ndani ya chama wakaacha mtu sahihi wakachukuwa asiye sahihi kwasababu tu ndani ya chama waliwahi kukwazana,hapa wanafeli.

Ukweli ni kwamba Zitto ni anaushawishi zaidi kwenye nafasi ya urais kuliko Lissu.

Swala la Lissu kushambuliwa kwa risasi lisitumike vibaya.Kushambuliwa kwa Lissu kwa risasi hakuwezi kupelekea huruma kwa wananchi ya Lissu kupigiwa kura zakutosha.

Mimi sijachagua Zitto ila Lissu kwenye kinyang'anyiro hatafika popote.

Tafuteni mtu ambaye ataleta changamoto kwa CCM.Habari za mabifu ndani ya chama ziwekeni pembeni kwani hazitawasaidia.

Membe alikuwa anaushawishi kuliko wote(Zitto@Lissu) lakini kwa alichowafanyia Lowassa sidhani kama wananchi watamuamini tena Membe.
 
Jamaa unawaza masiasa tu 24/7..Tafuta kitu cha kufanya mkuu..Halafu hata uelewa tu mdogo wa vitu vidogo kuhusu katiba yetu hujui..@pascalmayala ulijishusha sana kumpa airtime huyu

Anawaza siasa tu, au hili ni jukwaa la siasa hivyo akiwa na mada ya siasa hili ndio sehemu husika ya kuiweka? Ingekuwa ni jukwaa la biashara kisha akapost siasa hapo sawa.
 
Zitto, mchukueni Membe tumng'oe Ngosha

Membe siyo kama EL, Membe amesimama kuhesabiwa alipokuwa ndani ya CCM

Membe ameshajiandaa, ana machinery yake ya uchaguzi anahitaji kupewa backup ya kitaasisi

Membe ana vigezo na sifa wa kuwa rais mzuri, amepikwa kiuongozi, amepikika

Huu ushauri ndio cdm waliuavaa mkenge wa Lowassa. Sikatai ACT kumchukua Membe maana bado inajijenga hivyo inaweza kujaribu lolote. Lakini sishauri wapinzani wengine hasa cdm kukubali Membe kuwa mgombea wa upinzani wote. Hao watu toka ccm hawana uwezo wowote wa kufanya siasa nje ya mbeleko za vyombo vya dola. Ni vyema tume huru ya uchaguzi ikadaiwa kwa nguvu zote, kisha wapinzani wachague mtu aliye kwenye upinzani na sio kuokota hao wachovu toka ccm.
 
Hapa ndipo sehemu muhimu sana ambapo wapinzani huwa wanakosea,huwa wanafeli kwenye uchaguzi wa nani anaweza kuaminiwa na wapiga kura.

Kuna wakati wanaweza wakachanganya bifu za ndani ya chama wakaacha mtu sahihi wakachukuwa asiye sahihi kwasababu tu ndani ya chama waliwahi kukwazana,hapa wanafeli.

Ukweli ni kwamba Zitto ni anaushawishi zaidi kwenye nafasi ya urais kuliko Lissu.

Swala la Lissu kushambuliwa kwa risasi lisitumike vibaya.Kushambuliwa kwa Lissu kwa risasi hakuwezi kupelekea huruma kwa wananchi ya Lissu kupigiwa kura zakutosha.

Mimi sijachagua Zitto ila Lissu kwenye kinyang'anyiro hatafika popote.

Tafuteni mtu ambaye ataleta changamoto kwa CCM.Habari za mabifu ndani ya chama ziwekeni pembeni kwani hazitawasaidia.

Membe alikuwa anaushawishi kuliko wote(Zitto@Lissu) lakini kwa alichowafanyia Lowassa sidhani kama wananchi watamuamini tena Membe.

Mkuu bila kupinga maelezo yako mazuri, unasema kuwa Zito ndio anayefaa na iwapo Lissu atachaguliwa hatafika popote! Uko serious kweli. Ni kweli Zito ni mzuri, lakini sitaki kuamini eti ni mzuri sana, na Lissu hawezi kufika popote. Hapa naona kwako ni mahaba niue kwa Zito. Niliwahi kusema huko nyuma, kuwa Zito ni mzuri kwenye kujenga hoja, na hata akiwa rais atakuwa rais mzuri kwani amebalance kwenye uchumi, demokrasia na hata kijamii, ila chama chake kina ushawishi mdogo. Lissu ni mjenga hoja mzuri na ana mvuto mkubwa, ila tatizo lake naona atajikita zaidi kwenye mifumo ya kisheria, hatimaye tukajikuta tuna tatizo la sasa la rais anayejali miundombinu tu na kusahau mengine. Ifahamike Lissu yuko kwenye chama chenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa wengi wanaopenda siasa za upinzani.

Kwa taarifa yako iwapo Lissu atagombea kupitia cdm, na Zito kupitia ACT, ni dhahiri Lissu atapata kura nyingi tena kwa mbali kuliko Zito, kutokana na nguvu ya vyama vyao. Ila kiukweli Zito anaweza kuwa rais mzuri kuliko Lisu kutokana na sababu nilizotaja hapo juu.

Nimeangalia hapo uliposema kuwa Membe ana ushawishi kuliko Zito + Lissu. Sijui umetumia kigezo gani. Ukitaka kujua Membe ana mvuto au hana, asiende cdm ambayo tayari ina uungwaji mkono mkubwa, aende ACT, TLP au TADEA kisha uje utoe mrejesho hapa jukwaani.
 
Kila siku tuanawaita Vibendera
Full kukurupuka tu
Huna ulijualo
 
Back
Top Bottom