Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

Acha kupotosha ni ibara ipi inasema mmoja lazima awe mzanzibar.
Hey! Sitembei na ibara wala vifungu vya sheria kichwani. Kama kuna niliyempotosha anisamehe, sitapotosha tena.
Zitto na Lissu wanaruhusiwa kugombea kwa ticket moja, yaani for president and vice president. Sheria zinaruhusu.
Are you happy sir?
 
Why not Tundu Lisu aungane na zitto?

Tundu Lissu ana kipi cha raia kumpa kura? Au kura za huruma??

Acheni utani

We warnes you kufukuza wale watu CDM ndio lilikuwa kaburi, mkatetea na kujiona wanababe

CDM imwombe zitto, na sio zitto ajilete.
Nadhani maoni yako yanaongozwa na chuki uliyonayo kwa CDM kuliko uhalisia.Zitto aliondoka CDM akiwa kwenye kilele cha umaarufu,akaanzisha chama akaingia kwenye uchaguzi 2015,akaambulia jumbo mmoja pekee la uchaguzi na kura za urais chini ya 5%,harafu unataka kutuaminisha kwamba huyu ana ushawishi mkubwa kiasi kwamba inabidi CDM wamuombe waungane nae.Tuwe serious kidogo basi,ukweli ni kwamba katika kadhia ile Zitto was the looser.
 

Waziri Mkuu anatokana na chama kinachokuwa na wabunge wengi. Hivyo kushinda urais si guarantee ya kuunda serikali.
 
Alianza uzi kwa mbwembwe hatimae umenywea kwa wanao jua katiba

Sasa unazani Zito anandoto kama zako?

Zito pesa tu.
 
Mkuu umesoma vizuri bandiko hapo juu? Mleta mada hajasema Zitto awe Makamu wa Rais baada ya uchaguzi bali awe Waziri Mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, jamaa ame-edit post yake ya kwanza kwenye huu uzi na nimesema hapo juu.
Mwanzoni alisema, mmoja agombee urais mwingine umukamu rais.
Na kukosea kwa issues kama hizi ni kawaida, no big deal, kwa sababu tunajua mleta uzi anataka Lissu na Zitto waungane ili wawe na ushawishi na nguvu zaidi.
Ukiwa muelewa makosa madogo madogo ya kiufundi sio issue, la muhimu ni ujumbe.
 
Tundu na zitto waungane!!

Kumbuka kitu chochote chenye uzito ukikitia tundu hupungua uzito. Vile vile kitu chochote chenye tundu ukikiongezea uzito huo uzito utapenya penye tundu na kamwe hoo uzito hautaongezeka.

Unajua majina huakisi uhalisia?u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnafikiri kukabidhiwa nchi ni kama gheto?

Unakabidhiwa na nani zaidi ya wananchi kukupigia kura? Hicho kikundi kinachojifabya ndio huwa kinatoa madaraka kwa mtu ni kwa maslahi yao binafsi na sio kwa matakwa ya umma.
 
Wakiungana hao, mi nakuambia patachimbika, ushindi asbh tu. CCM wamegeuza Nccr ndio kichaka cha kujifichia Tume huru. .Nawashauri chadema na ACT waendelee kukaza hivyo hivyo

Mkuu umeenda sawia na mawazo yangu. Wapinzani wa kweli washikilie hapo hapo kwenye tume huru ya uchaguzi. Hao wapanga mbinu ovu lazima watapoteana.
 
Waungane kweli? Haiwezekani. Wote midomo mikubwa. Wote megalomaniac. Lisu ni ugonjwa tu, angekuwepo angekwisha kosana na Mkiti wake.
 
Zitto kesha danganywa na vijana wa pale makumbusho na hana ujanja tena
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…