Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

Nashangaa kwanini watu wanataka kukwamisha zoezi kwa kusema uongo. Hizi takwimu zitatumiwa na serikali yoyote itakayokuja hata kama yule unayempenda awe rais atatumia takwimu hizi kuleta huduma. Ni muhimu sana sema watu mnajichanganya tu na mambo mengi.
 
Comments za maswali ya sensa ziendelee tafadhali....nimeandaa Koo Leo 🤣
 
Nimepitia maswali yote na lengo la majibu yote wameweka ni mazuri shida inakuja kwenye utekelezaji tu zinaingia siasa
 
3. Je ww ni mwanaume au mwanamke ? Aiseeee karani kipofu au ?
 
Maswali yote yana umuhimu sana kwa jamii na sio ya kijinga wala ya kipuuzi. Inategemea na lengo la serikali, pia yamegusa nyanja nyingi za Wananchi.
 
Swali la 42 ndo wamechemka kabisa,42.umeoa na una watoto wangapi na je una uhakika hawa watoto ni damu Yako?[emoji1751]nadhani sensa ya mwaka huu imelenga kuvunja ndoa za watu[emoji849][emoji119]
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…