Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

Tunafanya sensa mara moja tu kila baada ya miaka 10....na bado watu wanaona maswali mengi! Issue hapa ni maswali ya msingi, yatasaidia kutambua ukubwa wa mahitaji ya msingi, by the way...huhitaji haya certificate ya darasa la 7 kuyajibu!
Maswali mengi ni ya kijinga. Eti unauliza namba ya siku ili ujishirikishe kwenye tafiti. Kwani tulisajili namba za simu ili iweje. Hata hili zoezi la sensa ni la kijinga na upigaji tu kwani vyeti vya kuzaliwa, kifa na vitambulisho vya nida ninafanya kazi gani?
 
Hivi unamuulizaje mtu kama ana ualibino [emoji23][emoji23] akikujibu kwani unanionaje utasema raia mkorofi.

Swali namba 7, ni swali la dhihaka
 
Hivi unamuulizaje mtu kama ana ualibino [emoji23][emoji23] akikujibu kwani unanionaje utasema raia mkorofi.

Swali namba 7, ni swali la dhihaka
Huko mbali sana, unamjibu ndio, halafu unachukua glass ya maji unakunywa
 
Duhh..
 
Dah questionnaire ndefu hivyo si unamchosha respondent. Mara nyingi questionnaire ndefu sana watu huwa wanalipwa....
Nani akae muda wote huo kusikiliza...
 
Embu punguza lawama na kukatisha tamaa, maswali kuwa yatasaidia taarifa zilizokusudiwa.
 
3. Je, wewe ni mwanamme au mwanamke?

18.Kwa kawaida unaishi Mkoa/Nchi gani?

19.Je, kwa kawaida huwa unashinda wapi?
 
Ni mengi mno,kama mimi ningekuwemo kwenye mchakato huo nisingeyauliza ningeyajaza mwenyew ninavyojua
 
Hapa nilipolala nimejibu fomu ya vipengele labda Saba tu hayo mengine mtayajua nyie, fomu za hotelini tofauti na uvundo wa kwenye kaya. Poleni kuleni Bata tumewakataza kuoa hamsikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…