Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Mwanasheria anachukua nyingi kuliko gharama ya kipimo?
 
Ujue mkuu shida sio mtoto??
Kwa mimi navyoona ni kua na mahusiano na huyo baba wa mtoto.

Yaani unaishi na mwanamke ambae ana mume mwingine somewhere. Unamlisha, unamvisha lakini kuna njemba nayo inajipigia bure tu.
What if hiyo njemba ikatia mimba nyingine bado utaelea kisa kitanda hakizai haramu??

Jamaa apate uhakika tu aishi kwa amani.
 
Sahihi
 
Kwenye rangi hapo usijali ila kwenye uwalaza mzee wangu hapo lazima u-judge komaa mzee tafuta pesa ukachek DNA
 
Mambo mazito sana haya jamani!!
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to play this audio.
Kapime tu DNA
 
Naomba kuuliza mganga wa kienyeji mpiga ramli hawezi kuicheki hii kwa darubin zake?!
 
Yaani nilee mbegu ya mtu mwingine ya kubambikiziwa?

Hiyo ni issue ndogo sana. Lea mtoto went. Hizo hisia zingine achana nazo, usije ukafa siku si zako. Halafu kwenye sayansi za viumbe siyo lazima kila uzao uwe unafanana na immediate relatives.
Ulivyoandika mii nikafikiri ni mchina.
 
Hiyo ni issue ndogo sana. Lea mtoto went. Hizo hisia zingine achana nazo, usije ukafa siku si zako. Halafu kwenye sayansi za viumbe siyo lazima kila uzao uwe unafanana na immediate relatives.
Ulivyoandika mii nikafikiri ni mchina.
😅😅😅nina future na wanangu. I can not take things for Granted.
 
MIMI HUWA NAWAAMBIA KILASIKU, HATA MUNGU ARUDIE KUUMBA UPYA DUNIA, DAIMA MILELE NI LAZIMA MTOTO AKIZALIWA AWE WA KIKE AU KIUME NI LAZIMA AFANANE NA BABA KWA NAMNA YOYOTE ILE, BILA KUNGOJA AFIKISHE UMRI FULANI...
In short ukiona mwanao kila ukimzoom hafanani na wewe brother huitaji DNA kujua hilo toto sio lako.... Eti kitanda hakizai haramu manyoko fukuza huyo mwanamke akifie mbele...
All in all, KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
 
Wife kajiongeza japo alete bahati nyumbani,rangi nyeusi kuitafuta Mali ni damu na jasho lakini hizo rangi za fanta au jogoo Wana ngekewa so tulizana. Huyo ndiye bahati yako maana na rangi yako ya WAHA utasanda.
 
Ukute ulilelewa na wakufikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…