Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Bila shaka hata 2ZR-FE ina ECO MODE na hii ukiwa chini ya speed 80kph huwa inakaa ECO MODE na ina viudambwi dambwi kama ukiwa kona kali hivi inajipunguza speed au ukiwa kwenye down hill unaona gari inavuta hivi yaani haimwagiki labda mguu uweke kwenye Accelerator kwa hivi vigari vya kimasikini tusioweza miliki Madungu sio haba.

Note:Kuna Jamaa aliniambia CVT uta enjoy sana ila Nitunze nitakutunza😀, naishi humo nasikia hazitaki kuvusha service hata kidogo.
 
Yeah, niliiona pia Fielder nadhani ni ya 2008. Ila ilikuwa inamsumbua owner. Aliipeleka kufanya service. Wakatia oil ya traditional automatic transmission wkt ile ina CVT.
 
Mungu saidia Premio au Harrier muhimu sana hapo Harrier mafutaa oohoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ajiongeze mala 3 ya hiyo bajeti anunue Harrier Anaconda hybrid ile futa inanusa tu ya 1.9L aipate😀😀😀😀
 

Mkuu kwa mikoani tvs itakufa mapema bora ungechukua sunlg au haujoue
 
Kama haili mafuta kabsaaa kwa hiyo inatumia maji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…