Mkuu hii reply yako huwa inanifikirisha sana.Ngoja waje kukupa muongozo...
Shingap atlete Hadi bongo
Mkuu hii reply yako huwa inanifikirisha sana.
Ulikuwa mtu wa nondo za moto...sijui umekumbwa na nini!
Historia yako na yule manzi (wa hapa jukwaani) sijui inachangia hali hii!?
Yote kwa yote maisha ni kuchagua...pole mkuu.
Kwa hiyo wenye zaidi ya 50 gari zao ni zipi?Inategemea Na umri wako Nisije nikakuambia Subaru kumbe una mIaka 60 au 70 ukaja ukaonekana mzee mzima Hovyo...
Una miaka mingapi Ni hii ya vijana ya 37 mpaka 55 au
Gari zetu wa Miaka 50 na kuendelea ni Za Kupumzikia ambazo hazina kelele wala Manjonjo maana tunaweza kuinekana vijana wa OvyoKwa hiyo wenye zaidi ya 50 gari zao ni zipi?
Hebu zitaje mkuu!Gari zetu wa Miaka 50 na kuendelea ni Za Kupumzikia ambazo hazina kelele wala Manjonjo maana tunaweza kuinekana vijana wa Ovyo
Mzee wa Cc: Mahondaw 🤣 kulaanina.Mkuu hii reply yako huwa inanifikirisha sana.
Ulikuwa mtu wa nondo za moto...sijui umekumbwa na nini!
Historia yako na yule manzi (wa hapa jukwaani) sijui inachangia hali hii!?
Yote kwa yote maisha ni kuchagua...pole mkuu.
BMW X series atleast start with X3 na kuendelea, Range Rover/Land Rover, Benz , Harrier, lexus, Toyota Land cruiser Prado aina zote Gx,Tx ,Vx and V8....etcHebu zitaje mkuu!
Amekwambia anafamilia sio muhuniAltezza je ? Au haifai wandugu..
Altezza ni gari ya wahuni?Amekwambia anafamilia sio muhuni
Hili haliitaji mjadala hata kidogo.Altezza ni gari ya wahuni?
Crown, IST, VITZ..Hili haliitaji mjadala hata kidogo.
Habari nimejiandaa na pesa hiyo nitapata gari gani nzuri kwa ajili ya matumizi yangu na familia?
Yaani wana ccm hamna akili kabisaa, sasa hiki ki toy ndo unamshauri mtu anunue kama gari ya kutembelea?!.Utanishukuru baadaeView attachment 2817712View attachment 2817714
Mitsubushi Highlander
Dah ila watu kwamba hainywi mafuta kabisa?!Achana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo
Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana
Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa