Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Ushauri wangu ukishanunua hiyo gari uwe mstaarabu barabarani...

Raia wanaonunua gari kwa kudunduliza hela huwa mnakuwa wabishi na roho mbaya sana barabarani, wazee wa kubania mtu asiingie njia kuu n.k...

Tabia hii unaiona sana kwa raia wenye vi baby walker, salon cars
 
Achana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo

Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana

Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa
Dah ila watu kwamba hainywi mafuta kabisa?!
 
Back
Top Bottom