sir ide
Senior Member
- Apr 10, 2020
- 115
- 170
Anataka gar mkuu, so mkulima huyu!Nunua pawatila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka gar mkuu, so mkulima huyu!Nunua pawatila
Gari ni anasa mkuu achana nalo
Utakuja kuni elewa baadae hio gari ya 4M ikianza kutafuna pesa yako ya savingTafuta uzungushe za kwako
Waswahili mnataabu sana
Gari kutafuna pesa ni kawaidaUtakuja kuni elewa baadae hio gari ya 4M ikianza kutafuna pesa yako ya saving
Kiwanja cha kazi gani?Mkuu anunue kiwanja kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]aachane na Anasa
Yale yamengoka meno kabisa, anunue m 2,alipige service m 1.5 nyingine abakishe kusikia milio na kulielewa hilo baloon km alivoshauri mdau huko nyumaZipo nzima Sana tu,yale mabaloon gx90 yako kwa hizo Bei na yanachapa kazi fresh kabisa.
Sio kweli, zipo za mkononi nzima nyingi tu ukituliza akili na kupunguza papara. Mie nilinunua Corolla 110 yenye engine ya 5A-FE mwaka 2014 kwa mtu na ilikuwa ni namba B, gari leo ni miaka 7 tangu niinunue na miaka 11 tangu iingie ardhi ya Tanzania, zaidi ya service za kumwaga oil, kubadili shocks na CV joints sijahaha na vitu vingine.Kama kazi ni mizunguko tu, nunua hiyo vitz, lkn kama utakuwa unahitaji kwenda site au sehem yenye barabara mbaya, tafuta mbadala..
Kwenye, 4m tafuta gari ya 3m..hyo 1m ni marekebisho, hakuna gari ya mkononi nzima
Well said mkuu juu ya Passo. AsijegusaVitz, Corolla 110, Starlet hizi angalau unaweza pambana nazo...kwa hiyo bei nadhani hata Swift unaweza bahatisha
Anayekushauri Passo mkimbie, vile vigari vikichoka huwa vinachoka haswaaa...
Mawazo ya kipuuzi hayaNunua pikipiki kwa milioni mbili na nusu kisha baada ya hapo iliyobaki tafuta demu mkali pumzika nae sehemu tulivu hata wiki ukimaliza katafute pesa upya
You want to look rich in stead of being richGari kutafuna pesa ni kawaida
Wewe tafuta za kwako
Asante saaana mkuuSio kweli, zipo za mkononi nzima nyingi tu ukituliza akili na kupunguza papara. Mie nilinunua Corolla 110 yenye engine ya 5A-FE mwaka 2014 kwa mtu na ilikuwa ni namba B, gari leo ni miaka 7 tangu niinunue na miaka 11 tangu iingie ardhi ya Tanzania, zaidi ya service za kumwaga oil, kubadili shocks na CV joints sijahaha na vitu vingine.
Gari nimeipigisha sana shuruba kwa safari ndefu. Nimeenda nalo Mtwara mara 3, Tanga x2, Mbeya mara 3 na mwezi wa 7 nilipiga Dar hadi Sumbawanga non-stop na kisha baada ya siku 4 nikapiga tena Sumbawanga to Dar non-stop. Gari ipo vizuri na nimeitoa mikononi mwa mtu.
Na nitoe tu ushahidi kuwa kabla ya kununua hili gari nilikuja humu humu kuomba ushauri nikiwa na option ya gari 3; Passo, Vitz Clavia na Corolla. Ila kupitia michango ya wengi nikashauriwa nichukue Corolla kwa sababu za reliability na easy mainatanance . Mmoja ya watu waliochangia ni RRONDO , na Mshana Jr .
So cha kumshauri mleta mada ni yeye kuweka machaguo yake na kisha ashauriwe kulingana na machaguo mara baada ya kujiridhisha na magari ayapendayo. Ila binafsi ningemshauri achukue Vitz RS old Model anawezapata kwa milioni 5½ kama pia atahitaji na performance ila kama budget yake ipo fixed achukue Vitz za kawaida au hata Clavia.
Huwa nawashangaa sana watu wenye michango na mawazo kama yako , mtoa mada kaomba ushauri gari ya kuendana na pesa aliyo nayo wala hajauliza pesa afanyie niniZugusha hio pesa magari yapo mengi utanunua baadae
Ondokaneni kwanza na mawazo ya kimaskini kwamba kumiliki gari ni anasa maana kwa mawazo haya hata pikipiki mtasema awekeze kwanza kadhalika hata baskeli mtasema awekeze kwanza baadae hata kununua viatu mtataka ajiwekeze kwanza , maisha ya dunia ni mafupi sana usijipe tabu na mateso eti kisa ujiwekeze, kila kitu kina umuhimu wake katika maisha uhitaji wa gari si sawa na uhitaji wa pesa za kujiwekeza kadhalika si sawa na uhitaji wa nyumba nk. kina Mengi wamejiwekeza weeee lakin wamewaachia kina jacklyne ambao hata hawajui mengi kapambanaje ishi kwa furaha na upe raha uzima wako lililo ndani ya wakati wako lifanye.@Kajeba zingatia hili.
Laki 6 had 8 kwa mwezi haitoshi, tengeneza scale nyngne uongeze kipato kupitia io 4miln