Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

Kwa tuliofika UMISETA Taifa tuna Siri nyingi sana za Hawa watumishi wa umma. ( THOU NI KITAMBO SANA)
 
Dah! Kuna wajumbe mnachangia hii mada kwa masihara. Ila mtambue tu hakuna kitu kinauma kwa mwanaume kama hiki cha kuhisi mke wako anapigwa tukio. Yaani usikie tu kwa jirani.
 
Nilidhan nimemfananisha, nilimuona rainbow yuko na mwamba na walikua wanaongelea Habari za kwenda kujipumzisha.
 
Naomba msihofu wenye wake zenu. Sisi huku tupo kimichezo zaidi. Tunaishi kama dada na kaka. Hakuna mambo ya kutongoza mke wa mtu huku. Tena usiwe na hofu na mkeo, kifupi wake zenu wako salama. Hakuna anayetomasa maziwa mke wa mtu huku. Kila mwanamke huku anajitambua. Hata mwakani usikose kumruhusu aje afanye kile anachotamani moyoni. Michezo ni afya, michezo ni udugu. Kazi iendelee.
 
Mkuu kule wameenda kufanya kazi ya mashindano ya KUTOaMBWA nje kisha wakipata majasho wanaoga maji ya chumvi.

Kama huamini mfanyie surprise visit. Vunja ratiba yako kutwa nzima shinda hapo walipokusanyikana huku ukimzoom kwa jicho la tai kuanzia kwa njemba linalomshangilia sana au analolishangilia then mienendo mara baada ya ratiba ya michezo kumalizika. Halafu malizia na mida ya jioni mitoko kwenda bambalag na kwingineko.

Ila hakikisha unapofanya yote hayo uwe na roho ya chuma na usidrive.
Ukishuhudia upuuzi wowote jipige kifuani mara saba na ugeuke nyuma urudi ulikotoka.
 
shida sio safari, huwa anasafari sana na mawasiliano huwa yapo, ila kwa hii ya dodoma amekuwa tofouti kabisa. Amenisikitisha kwa hili.
Dodoma amekutana na x wake, pole sana mkuu acha wakumbushie
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu.Waswahili wanasema "Ukiona manyoya,ujue kashaliwa".

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Haiharibiki hiyo,ukiletewa utaikuta ipo vile vile.
 
Kama umezaa nae,fanya mpango wa kujua watoto wako,wenye uhalisia,jali hao. Yeye tema. Hapo kimejaa ujue,unachotakiwa kufanya ni kufukia
 
Mbna vinyozi dodoma hatuna hio taarifa ya umeme kukatika

Mi vichwa vinaingia tu hapa saloon
Muulize vizuri


😁😁😁😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…