Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat

Ninaisubiri 7.1.2
Mkuu msaada,.

Naweza kubadikisha version kwa vigezo gani mfano kutoka 4.3 kwenda 4.4 n.k
 
Mkuu msaada,.

Naweza kubadikisha version kwa vigezo gani mfano kutoka 4.3 kwenda 4.4 n.k
Inategemea aina ya simu mkuu..

Ukiwa na vifuatavyo unapiga kazi..

1. Custom rom ya simu yako ya version unayoitaka

2. Custom recovery

3. GApps ya version ya android utakayoinstall

4.Rooted Android Device....

Pia kuna simu ambazo kampuni zina upgrade zenyewe online
 
ya kuchange font n app gan
 
Kuanzia kuwa Access developer, kuchange USB Debugging na kuruhusu simu yako kusoma unknown source. Kudownload kingroot app kuanzia version ya 4.0 na rooting checker ili ujue kama rooting imefanikiwa ama vipi.
ommy Dimpoz
 
Kwa hyo ukisharoot zile app ulilokuwa ukitumia c zina potea zote au inakuwaje
 
Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat

Ninaisubiri 7.1.2
Asante mkuu, sasa ni app gani nzuri naweza kuitumia ku hibernate au ku freeze app ambazo zina run background au nakuwa sizitumii kwa wakati husika.

Naomba pia nisaidie app ambayo naweza kubadili FONTS ya simu iwe na muonekano tofauti.

Thanks
 
Greenify pamoja na battery amplifier kama una exposed installer itakufaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…