sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo.
Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji wengine wa kikosi cha pili.
Mtu wa kuangalia leo atadharau mpira uliochezwa ila anaeangalia kesho ni lazima apongeze
Bado kuna Ligi kuu ambayo zimebaki mechi 4 na kati ya hizo tatu zikiwa ni za mikoani, Hivi kweli kulikuwa kuna umuhimu wa kukamia mechi ya leo wakati kuna mechi dume za Ligi kuu na hapo bado kuna FA.
Mechi ya Leo hata ma striker waliambiwa wakwepe mazingira ya mikutuo ama kugongana ndio maana kwa jicho la kawaida unaweza kuona mtu kakosa nafasi za wazi, hii ilikuwa ni kuzuia majeraha ya mikutuo ya mabeki na kipa wa rivers.
Keneth Musonda na wachezaji wengine muhumu ilibidi wawekwe akiba maana ndio watatumika sana hizo mechi.
Ubongo mtu wangu.