Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo.

Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji wengine wa kikosi cha pili.

Mtu wa kuangalia leo atadharau mpira uliochezwa ila anaeangalia kesho ni lazima apongeze

Bado kuna Ligi kuu ambayo zimebaki mechi 4 na kati ya hizo tatu zikiwa ni za mikoani, Hivi kweli kulikuwa kuna umuhimu wa kukamia mechi ya leo wakati kuna mechi dume za Ligi kuu na hapo bado kuna FA.

Mechi ya Leo hata ma striker waliambiwa wakwepe mazingira ya mikutuo ama kugongana ndio maana kwa jicho la kawaida unaweza kuona mtu kakosa nafasi za wazi, hii ilikuwa ni kuzuia majeraha ya mikutuo ya mabeki na kipa wa rivers.

Keneth Musonda na wachezaji wengine muhumu ilibidi wawekwe akiba maana ndio watatumika sana hizo mechi.

Ubongo mtu wangu.
 
MAKOLO aka Mbu mbu mbu......hawajui hesabu za professor nabi
Akiba muhimu sana hasa katika mbio za kutetea ubingwa wa ligi kuu, ni lazima kombe la ligi kuu tulitetee kwa nguvu zote
 
Waliomwelewa Nabi ni Wachache sana
Wachezaji kama Musonda na Moloko ilibidi wapumzike leo kwajili ya Ligi kuu, Nilikuwa naona baadhi ya watu wanalalamika hawapo
 
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo.
aji wengine muhumu ilibidi wawekwe akiba maana ndio watatumika sana hizo mechi.

Ubongo mtu wangu.
Aisee umenifungua macho pia, sikuwa nimeelewa lengo la MWALIMU wetu🙌🙌
 
Kwa sasa ni kama tupo jangwani, maji ya chupa hatuwezi kuyanywa yote ili mwili ufurahi bila kujali kesho.

Mechi ya Leo hata ma striker waliambiwa wakwepe mazingira ya mikutuo ama kugongana ndio maana kwa jicho la kawaida unaweza kuona mtu kakosa nafasi ya wazi kumbe ni kukwepa mikutuo na migongano.

Safari bado haijaisha
 
Hahahaha mnachekesha sana hahaha mbona Simba aliwafungia busta huku ana mechi na Wydad ?
Je,ili ninyi mshinde lazima Musonda,Mayele na hata Lomalisa wacheze wasipocheza hamshindi?

Sema ni kombe la loosers so ni pipa na mfuniko vilikutana kwa mara ya pili
 
Yanga ilianza na wachezaji Saba wazawa.
 
Mechi ya Leo hata ma striker waliambiwa wakwepe mazingira ya mikutuo ama kugongana ndio maana kwa jicho la kawaida unaweza kuona mtu kakosa nafasi ya wazi kumbe ni kukwepa mikutuo na migongano.
Tena Mayele aliambiwa awe anapaisha, na Aziz Ki awe anapiga faulo vibaya, ili wasiumie wasije wakaikosa Mbeya City
 
Ukute na umeme ulizimwa wapumzike. Mbeya city ni mechi muhimu.
 
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo.

Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji wengine wa kikosi cha pili.

Mtu wa kuangalia leo atadharau mpira uliochezwa ila anaeangalia kesho ni lazima apongeze

Bado kuna Ligi kuu ambayo zimebaki mechi 4 na kati ya hizo tatu zikiwa ni za mikoani, Hivi kweli kulikuwa kuna umuhimu wa kukamia mechi ya leo wakati kuna mechi dume za Ligi kuu na hapo bado kuna FA.

Mechi ya Leo hata ma striker waliambiwa wakwepe mazingira ya mikutuo ama kugongana ndio maana kwa jicho la kawaida unaweza kuona mtu kakosa nafasi za wazi, hii ilikuwa ni kuzuia majeraha ya mikutuo ya mabeki na kipa wa rivers.

Keneth Musonda na wachezaji wengine muhumu ilibidi wawekwe akiba maana ndio watatumika sana hizo mechi.

Ubongo mtu wangu.

Umenena vyema japo Wanao uelewa mpira ni wachache wengi wanalilia kuona magoli
 
Hahahaha mnachekesha sana hahaha mbona Simba aliwafungia busta huku ana mechi na Wydad ?
Je,ili ninyi mshinde lazima Musonda,Mayele na hata Lomalisa wacheze wasipocheza hamshindi?

Sema ni kombe la loosers so ni pipa na mfuniko vilikutana kwa mara ya pili
Kila mmoja ana vipaumbele vyake mkuu, Simba kipaumbele chake amfunge Yanga wakafunga busta ili kuifunga Yanga. Lakini Yanga wao wakachagua kufuzu nusu fainali
 
Hahahaha mnachekesha sana hahaha mbona Simba aliwafungia busta huku ana mechi na Wydad ?
Je,ili ninyi mshinde lazima Musonda,Mayele na hata Lomalisa wacheze wasipocheza hamshindi?

Sema ni kombe la loosers so ni pipa na mfuniko vilikutana kwa mara ya pili
Ni hilohilo kombe ambalo watu walichoma uwanja ??au ni lingine
 
Back
Top Bottom