Aloyce Mkwizu
Member
- Dec 19, 2016
- 70
- 53
sio wote rudisha maneno yako mdomoni, unamkosea hata mungu.Matajiri wote ni dhulumati wakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wote rudisha maneno yako mdomoni, unamkosea hata mungu.Matajiri wote ni dhulumati wakubwa
Sasa unamlipa mtu 130,000/= hiyo motisha ya kufanya kazi anaitoa wapi?Hapo mwanzo nilikuwa nashangaa Kwanini matajiri wa kihindi wana roho mbaya na kuwalipa mishahara midogo watu weusi......hadi hapo nilipopata nafasi ya kusimamia kiwanda kimoja hivi.......ni kiwanda kidogo lakini kimenifunza mengi sana juu ya sisi Watanzania........
Kwa mtu ambaye alishawahi kuwasimamia kazi Watanzania anaweza akanielewa.....
Kiukweli kuna utofauti mkubwa sana kati ya WaTanzania na watu wa mataifa mengine.....hasa kwenye uchapakazi......
Ukifanya kazi na Watanzania na ukawaendekeza na kuwapeleka kiungwana lazima utapata hasara na kufunga biashara.........
Kwanza Mtanzania hawezi kufanya kazi mpaka asimamiwe kama wapo wa hivyo ni wachache sana.....pili ni uvivu
Mtanzania anakuwa na kimuhe muhe cha kazi akiwa hana kazi lakini akishapata kazi ndio utamjua.......
Hapo kiwandani kulikuwa na kamera....yaani upande wa ndugu zangu kule Yaani muda wote kama Hakuna mtu wao ni story na kubishana mipira na siasa.......
Lakini upande wa ndugu zetu wa nje muda wote wanapiga kazi hata kama superviser hayupo wao ni kazi tu....sasa mtu kama huyo unaachaje kumlipa mshahara mkubwa.....!!?
Kwa kweli ukiwa hujawahi kuwasimamia au kufanya kazi na waTanzania huwezi kuona madhaifu yao.........
Ni bora ufanye kazi na wahindi au Wachina kumi kuliko kufanya kazi na Watanzania mia......
Sehemu pekee unapoziona nguvu za Watanzania kazini ni muda wa kufunga kazi na muda wa kupokea mishahara yao.......
WATANZANIA TUBADILIKE
This is what you can see from outside....mara kadhaa kuna incentives zimefichwa....Huwa najiuliza sana taasisi kama Forbes inatumia vigezo gani kumjua tajiri namba moja katika nchi husika. Wanashindwa hata kutembelea wafanyakazi wa kampuni za tajiri husika kuangalia hali zao nao zikoje?
Juzi hapa nilileta bandiko kuhusu mishahara ya wafanyakazi wanaofanya katika kampuni za matajiri hawa wawili hapa Tz, Mo Dewji na Bakhresa.
METL GROUP, BAKHRESA GROUP Kampuni kubwa Tanzania zisizojali Wafanyakazi wake
Nilieleza jinsi wanafunzi wa nchi kama Marekani, hata hapo Kenya wanavyotamani kufanya kazi katika kampuni za matajiri wa nchi zao.
Lakini kwa hapa Bongo mambo ni tofauti kabisa, wafanyakazi wa Mo na Bakhersa wanafanya kazi kwakua hakuna mbadala, ajira hakuna. Na hiki ndicho kigezo hutumia kuwanyonya wafanyakazi kwani wanajua hana pa kwenda hata kama mshahara ni mdogo.
Embu wana JF tuangalie hili tangazo la kampuni ya tajiri namba moja Tz, Dewji.
Ni la dereva atakae husika na mauzo pia.
Hivi kweli kwa hali ya hapa Dar unamlipaje mtu mshahara wa Tsh 130,000 kwa mwezi? Mtu huyo anafamilia, analipa kodi, anasomesha, umeme, maji nk Ushahidi link hii hapa chini na screenshot zake, wasije wakabadilisha au kulitoa.
Salesperson Cum Driver. in Dar Es Salaam
Yani hata kima cha chini hawaja kifikia. Mbaya zaidi Serikali inajua haya lakini wanashindana na Mange Kimambi mitandaoni.
Waziri wa kazi na ajira tekeleza majukumu yako, sioni sababu ya nyie kushikilia nafasi hizo huku wananchi wanabyonywa na hawa mabepari wanao zidisha umasikini kwa wananchi.
View attachment 718025View attachment 718026
Mzee baba hakuna boss anayetamani kumwona mfanakaz wake anasherekea na mshahara wake , tofauti na hapo ataitwa majna mengi km mwinz n.k! Hakika kuajiriwa bongo ni utumwaHuwa najiuliza sana taasisi kama Forbes inatumia vigezo gani kumjua tajiri namba moja katika nchi husika. Wanashindwa hata kutembelea wafanyakazi wa kampuni za tajiri husika kuangalia hali zao nao zikoje?
Juzi hapa nilileta bandiko kuhusu mishahara ya wafanyakazi wanaofanya katika kampuni za matajiri hawa wawili hapa Tz, Mo Dewji na Bakhresa.
METL GROUP, BAKHRESA GROUP Kampuni kubwa Tanzania zisizojali Wafanyakazi wake
Nilieleza jinsi wanafunzi wa nchi kama Marekani, hata hapo Kenya wanavyotamani kufanya kazi katika kampuni za matajiri wa nchi zao.
Lakini kwa hapa Bongo mambo ni tofauti kabisa, wafanyakazi wa Mo na Bakhersa wanafanya kazi kwakua hakuna mbadala, ajira hakuna. Na hiki ndicho kigezo hutumia kuwanyonya wafanyakazi kwani wanajua hana pa kwenda hata kama mshahara ni mdogo.
Embu wana JF tuangalie hili tangazo la kampuni ya tajiri namba moja Tz, Dewji.
Ni la dereva atakae husika na mauzo pia.
Hivi kweli kwa hali ya hapa Dar unamlipaje mtu mshahara wa Tsh 130,000 kwa mwezi? Mtu huyo anafamilia, analipa kodi, anasomesha, umeme, maji nk Ushahidi link hii hapa chini na screenshot zake, wasije wakabadilisha au kulitoa.
Salesperson Cum Driver. in Dar Es Salaam
Yani hata kima cha chini hawaja kifikia. Mbaya zaidi Serikali inajua haya lakini wanashindana na Mange Kimambi mitandaoni.
Waziri wa kazi na ajira tekeleza majukumu yako, sioni sababu ya nyie kushikilia nafasi hizo huku wananchi wanabyonywa na hawa mabepari wanao zidisha umasikini kwa wananchi.
View attachment 718025View attachment 718026
Mkuu hakuna bonasi hapo mm nina jamaa zangu wanafanya kazi hapoWatakuwa na bonasi. Vinginevyo ni hatari.
Hahah.. Possibly.Labda kuna sifuri imesauhaulika hapo mbele ya 130,000/= (1,300,000/=)
Alichokosea Huyo Jamaa Hapo Nikutaja Hiyo Hela Ya Commision Ambayo Ameiweka Kama Ya Kudumu Hajaeleza Mpaka Ufanyeje Ndo Upate Hela Hiyo,ngoja Nikueleze Sales Person Yeyote Yule Iwe Kwa MO,BAKHRESA au MENGI mara nyingi huwa hawapewi mishahara mikubwa bali hupewa mshahara kiduchu kwasababu akipewa mshahara mkubwa hatoweza iletea faida kampuni.Wanachokifanya Mabosi Ni Kuwapa target ya mzigo Sales Person Wote mfano Ukiuza Maji 5000 Ya Masafi Kwa Kila Mwezi Bonus Yako Itakuwa Kadhaa Lets Say Labda Laki 9 Na Kila Sales Man Hupewa Target Kulingana Na Route Aliyopewa Kuuza Kama Route Kubwa Idadi Ya Mzigo Wakuuza Inabidi Uwe Mkubwa Na Bonus Yake Pia Itakuwa Kubwa.Nafikiri Nimeeleweka Ila Sales Person Ndo Anafaidika Kwenye Hayo Makampuni Ila Vitengo Vingine Njaa Kali Sana Na Mikataba Ya Huko Hovyo Hakuna Mifuko Ya Hifadhi Wala Bima Za AfyaEddy Love unasemaje juu ya hili, ni kweli ilikuwa hivi wakati unafanya kazi huko!??
Ha Ha Ha Ha HaLabda kuna sifuri imesauhaulika hapo mbele ya 130,000/= (1,300,000/=)
bora huyo laki na 30,je makampuni ya ulinzi watasemaje na risk zote wanazopata ungejua mishahara yao diuuuuhHuwa najiuliza sana taasisi kama Forbes inatumia vigezo gani kumjua tajiri namba moja katika nchi husika. Wanashindwa hata kutembelea wafanyakazi wa kampuni za tajiri husika kuangalia hali zao nao zikoje?
Juzi hapa nilileta bandiko kuhusu mishahara ya wafanyakazi wanaofanya katika kampuni za matajiri hawa wawili hapa Tz, Mo Dewji na Bakhresa.
METL GROUP, BAKHRESA GROUP Kampuni kubwa Tanzania zisizojali Wafanyakazi wake
Nilieleza jinsi wanafunzi wa nchi kama Marekani, hata hapo Kenya wanavyotamani kufanya kazi katika kampuni za matajiri wa nchi zao.
Lakini kwa hapa Bongo mambo ni tofauti kabisa, wafanyakazi wa Mo na Bakhersa wanafanya kazi kwakua hakuna mbadala, ajira hakuna. Na hiki ndicho kigezo hutumia kuwanyonya wafanyakazi kwani wanajua hana pa kwenda hata kama mshahara ni mdogo.
Embu wana JF tuangalie hili tangazo la kampuni ya tajiri namba moja Tz, Dewji.
Ni la dereva atakae husika na mauzo pia.
Hivi kweli kwa hali ya hapa Dar unamlipaje mtu mshahara wa Tsh 130,000 kwa mwezi? Mtu huyo anafamilia, analipa kodi, anasomesha, umeme, maji nk Ushahidi link hii hapa chini na screenshot zake, wasije wakabadilisha au kulitoa.
Salesperson Cum Driver. in Dar Es Salaam
Yani hata kima cha chini hawaja kifikia. Mbaya zaidi Serikali inajua haya lakini wanashindana na Mange Kimambi mitandaoni.
Waziri wa kazi na ajira tekeleza majukumu yako, sioni sababu ya nyie kushikilia nafasi hizo huku wananchi wanabyonywa na hawa mabepari wanao zidisha umasikini kwa wananchi.
View attachment 718025View attachment 718026
Huyo Jamaa Anaota Mhindi Akupe Bonus Labda Awe MwarabuMkuu hakuna bonasi hapo mm nina jamaa zangu wanafanya kazi hapo
Dawa ni kumuibia tuu hao wanakwepa PAYE NSSFHuwa najiuliza sana taasisi kama Forbes inatumia vigezo gani kumjua tajiri namba moja katika nchi husika. Wanashindwa hata kutembelea wafanyakazi wa kampuni za tajiri husika kuangalia hali zao nao zikoje?
Juzi hapa nilileta bandiko kuhusu mishahara ya wafanyakazi wanaofanya katika kampuni za matajiri hawa wawili hapa Tz, Mo Dewji na Bakhresa.
METL GROUP, BAKHRESA GROUP Kampuni kubwa Tanzania zisizojali Wafanyakazi wake
Nilieleza jinsi wanafunzi wa nchi kama Marekani, hata hapo Kenya wanavyotamani kufanya kazi katika kampuni za matajiri wa nchi zao.
Lakini kwa hapa Bongo mambo ni tofauti kabisa, wafanyakazi wa Mo na Bakhersa wanafanya kazi kwakua hakuna mbadala, ajira hakuna. Na hiki ndicho kigezo hutumia kuwanyonya wafanyakazi kwani wanajua hana pa kwenda hata kama mshahara ni mdogo.
Embu wana JF tuangalie hili tangazo la kampuni ya tajiri namba moja Tz, Dewji.
Ni la dereva atakae husika na mauzo pia.
Hivi kweli kwa hali ya hapa Dar unamlipaje mtu mshahara wa Tsh 130,000 kwa mwezi? Mtu huyo anafamilia, analipa kodi, anasomesha, umeme, maji nk Ushahidi link hii hapa chini na screenshot zake, wasije wakabadilisha au kulitoa.
Salesperson Cum Driver. in Dar Es Salaam
Yani hata kima cha chini hawaja kifikia. Mbaya zaidi Serikali inajua haya lakini wanashindana na Mange Kimambi mitandaoni.
Waziri wa kazi na ajira tekeleza majukumu yako, sioni sababu ya nyie kushikilia nafasi hizo huku wananchi wanabyonywa na hawa mabepari wanao zidisha umasikini kwa wananchi.
View attachment 718025View attachment 718026
Labda kwa siku[emoji1]Laki na 30?...wadosi bwana
Tatizo La Kazi Za Ulinzi Na Makampuni Mengine Zina Madalali Kibao (mtu Wa Kati) Hao Ndo Wananufaika Tena Sana,unakuta Yeye Anapewa Laki Tano Kwa Kila Kichwa Cha Mlinzi Kutoka Kwenye Kampuni Aliyoingia Nayo Ubia Then Walinzi Anaenda Kuwalipa Laki Na 20 Sasa Hebu Pga Mahesabu Ndo Ana Walinzi Labda 300 Unadhani Mkwanja Kiasi Gani Kwa Mwezi Ana Beba Halafu Raisi Wako Anatangaza Madalali Hawataki Katika Nchi Hii Still Bado Wapo Ndo Maana Kiwanda Cha Cement Cha Dangote Migomo Na Migogoro Haiishi Palebora huyo laki na 30,je makampuni ya ulinzi watasemaje na risk zote wanazopata ungejua mishahara yao diuuuuh
Hahaha halafu kamalizia 'gross'!
Yeah sure mie mwenyewe vijana wangu shamba nawalipa 150K, hapo chakula matibabu etc juu yangu. Ajira bongo zakinyonyaji sana.Mo Kweli NYOSO,Kuna Jamaa Shamba Boy Kazi Yake Kuu ni Kuhudumia Mifugo kuwapa Chakula (Kuku+Mbuzi na ChairFire) analipwa Laki na nusu.