Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

Duh halafu ni full time,hata muda wa kufanya mambo mengine ya kuingiza kipato zaid mtu hapati
 
Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.

Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
Mkuu heshima sana kwa kuliona hili.
Vijana wanapigishwa udaku kwenye mitandao 24/7 badala ya kurejeshwa kwenye hoja za msingi zinazogusa maslahi yao.halafu utasikia kiongozi flani wa kisiasa anakwambia tunataka katiba mpya ....hivi katiba mpya ndio itakayosema mtu alipwe kima cha chini kulingana na taratibu?
 
Ndo mana wakipata chance ya kuiba wanaiba kwa mshahara huo kweli hutamuibia boss jamani
 
Naona umeamua kuhitimisha mjadala badala ya kutetea hoja. There is no wealth accumulation without exploitation. Kama hujui uchumi ni bora ukae kimya.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
kumbe hata ufahamu tofauti ya kudhulumu na exploitation.
hivyo ni vitu viwili tofauti. rejea kamusi ya ubongo wako.
 
WCB masafari ya nje ya nchi yale yanawapa amani ya moyo.. hata kama wanalipwa laki 3.

kufanya kazi WCB hata kwenda kazini raha tu maana ni unaenda kufurahi tu maana pale ni kampuni ya burudani


Kampuni ya WCB wasafi, inawafanya kazi zaidi ya 50 lakini wanalipwa vyema hakuna malalamiko.

Platnumz hongera kwa hilo. [emoji4] [emoji377] [emoji377]
 
Na akina Mavunde wako tu kazi kujisifia majukwaani. Nchi hii watu wananyonywa kupita maelezo na hasa huko mikoani lakini hakuna wa kuwasaidi, kana kwamba nchi haina serikali wala usalama wa Taifa.

Kati ya mawaziri na wizara bomu ni pamoja na hii ya vijana, ajira na kazi ...ni bomu kama lile la Hiroshima
 
Kwa style hii wale wazee wenzangu wa kupiga nyoka matenki ya gari na kula vichwa hawataisha!
 
Mimi tajiri ninaye mkubali ni D-Shicker tu huyu mtu anamihela mpaka haiwezi kuja nchini jinsi ilivyo kuwa mingi.Benki zetu zitapasuka.
 
Tshs 130,000/= gross, sijui baada ya makato anabaki na nini?
 
Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.

Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe

Mkuu upo sawa kabisa lkn kuna sababu maalum za kuwanyoosha!!zisiwe chuki binafsi
 
Hivi hio inafika kiwango cha kukatwa kodi?
Mshahara mpk uzidi 170k ndo unalipa kodi, hii inaonesha huyu jamaa anawakwepesha wafanyakaz wake kulipa kodi ambapo ni faida kwake.
Uhuni mtupu, unakuta mtu anahurumia wanyonyaji kama hawa et mpk anabadilisha dp/avatar anasahau familia za walioajiriwa zinavyoteseka, wagonjwa mahospitalin, omba omba mitaani, n.k n.k, na mwingne unakuta kwenye jamii/ukoo/familia yake kuna matatzo chungu mbovu anayoyashuhudia kwa macho, ye anaona ya Mo anayoyasikia kwenye media tu......,halaf unajitia unahuruma,

Umaskin wa umegawanyika sehem nying sana kuanzia wa ubongo, Mifukoni, roho/utu n.k n.k
 
Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.

Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
Hii comment hii!
 
Kodi......20000
usafiri....30000
kula mchana 60000
kula home 60000
haiwezekani kwani mtu huyo ana dem au wife BIG NO. MO nimuuaji
 
Kama unyonyaji bas ni serikali, wajibu wa serikali ni kuhakikisha kuwa sekta binafsi zinafuata utaratibu mzima kwenye masuala ya ajira, ujira na mengineyo. Metl na Bakhresa sio wa kulaumiwa, tuwalaumu serikali kwa kufumbia macho na kuwaacha hawa wanyonyaji wakiwakamua watanzania mbumbumbu.
 
Angepotea moja kwa moja tu kwanza, kwa Hali hii ya ajira ya tangazo laki na 30[emoji846]asiye na tangazo elfu 70 manina Magu wanyooshe....
 
Mbona hata serikalini watu wamataka na hiyo per month, msimlaumu MO laumuni nchi yenu masikini
Kama nchi masikini mbona wao wanazidi kuwa matilionea kila siku, wezi tu Hawa Magu endelea kuwanyoosha....
 
Back
Top Bottom