Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona mjadala umeshakushindaMkuu nakuambia tena: hakuna tajiri asiyedhulumu.
Naona umeamua kuhitimisha mjadala badala ya kutetea hoja. There is no wealth accumulation without exploitation. Kama hujui uchumi ni bora ukae kimya.naona mjadala umeshakushinda
Mkuu heshima sana kwa kuliona hili.Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.
Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
kumbe hata ufahamu tofauti ya kudhulumu na exploitation.Naona umeamua kuhitimisha mjadala badala ya kutetea hoja. There is no wealth accumulation without exploitation. Kama hujui uchumi ni bora ukae kimya.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kampuni ya WCB wasafi, inawafanya kazi zaidi ya 50 lakini wanalipwa vyema hakuna malalamiko.
Platnumz hongera kwa hilo. [emoji4] [emoji377] [emoji377]
Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.
Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
Mshahara mpk uzidi 170k ndo unalipa kodi, hii inaonesha huyu jamaa anawakwepesha wafanyakaz wake kulipa kodi ambapo ni faida kwake.Hivi hio inafika kiwango cha kukatwa kodi?
Hii comment hii!Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.
Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
Kama nchi masikini mbona wao wanazidi kuwa matilionea kila siku, wezi tu Hawa Magu endelea kuwanyoosha....Mbona hata serikalini watu wamataka na hiyo per month, msimlaumu MO laumuni nchi yenu masikini