Mwisho wa Tax Free ni 170,000/-. Above hapo kodi itahusika tu.200k kwenda chini hukatwi kodi nadhan
Hata hivyo kweli matajiri wa bongo wanyonyaji wanalipa kiduchu sana tofauti na matajiri wa nchi zingne
Kunyoosha kupi unakosema wewe? Au ni kule kwa kubambikia watu kesi sawa na wengine wanavyonyooshwa kwa kutekwa na kupotezwa? Acheni kuhalalisha ushenzi na udhalimu kwa sababu yoyote ile. Kama kweli huyo mtu wenu ana huo uchungu unaotaka kudanganya watu kwamba anao, aanze kwanza kupandisha kima cha chini serikalini! Ana mwaka wa 3 madarakani, je amefanya hivyo?! Mfano mwingine mdogo kabisa, kwa mujibu wa sheria, mwajiri yeyote mwenye wafanyakazi 100+ anatakiwa kuajiri angalau 3% walemavu! Je, unataka kutuambia serikali imefikisha hiyo idadi?!Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.
Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
I agree, waulize bunge kilichowapatabonas mkuu hazitambuliki kisheria, zinaweza kuwepo au zisiwepo.
Mshahara gani upo chini ya kima cha chini kwa kampuni ya Tajiri namba moja?
Huu ni unyonyaji mtupu.
Nadhani hapa alimaanisha Baadhi ya Madereva wasio waaminifu huuza mali (Mf. Mafuta) kuchikichia pesa na kubakiza mali kiasi ili akiangusha gari porini imwagike kupoteza ushahidi wa dili alilofanya.Anafaidika vipi akilipigisha gari mzinga?
Usiombe wanaohitaji wataomba.shida wafanyakazi wengi hawajitambui.. kazi ya mshahara laki na 30 unaandika barua ya kuiomba ya nini?
mfumo wetu wa elimu na maisha ni mbovu.. kuna graduates wengi sana wamefanya kazi hata 10 yrs wengine ila hana asset yeyote zaidi ya liabilities kibao... akiachishwa kazi umwambie atafute hata laki 3 kwa mwezi sawa na elfu 10 kila siku hawezi... mtu kama huyu kazi hata ya laki moja anaandika barua anaomba..
hivi dereva ulipwe laki moja.. huwezi hata kuuza chips, maji, mtaani
Kunyoosha kupi unakosema wewe? Au ni kule kwa kubambikia watu kesi sawa na wengine wanavyonyooshwa kwa kutekwa na kupotezwa? Acheni kuhalalisha ushenzi na udhalimu kwa sababu yoyote ile. Kama kweli huyo mtu wenu ana huo uchungu unaotaka kudanganya watu kwamba anao, aanze kwanza kupandisha kima cha chini serikalini! Ana mwaka wa 3 madarakani, je amefanya hivyo?! Mfano mwingine mdogo kabisa, kwa mujibu wa sheria, mwajiri yeyote mwenye wafanyakazi 100+ anatakiwa kuajiri angalau 3% walemavu! Je, unataka kutuambia serikali imefikisha hiyo idadi?!
Endeleeni kuhalalisha ushenzi na ufedhuli mkidhani na wenyewe mpo salama!! NI ujinga kudhani unaweza kufanya maisha ya Watanzania maskini kuwa mazuri kwa kuwafanyia ufedhuli walionacho kama walivyofanya kwa Yusufu Manji! Now tell me, mtu kama Yusuf walimsakizia kesi ya dawa za kulevya, uhujumu uchumu pamoja na kuhatarisha usalama wa taifa! Baada ya hayo, mfuko wako uliongeza shilingi ngapi za mapato zilizotokana na huo ufedhuli wenu unaoushabikia?
MtumeeeKuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.
Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
hivi wee jama hupogo? Huonekani jamvin siku nyingi. Ama ulitemwa LB7?Hii ni transport tu kwa Dar.
Hivi una habari kwamba hakuna mtu niliyemdharau humu jamvini kama wewe? Sijawahi kukuona ukitoa hoja zaidi ya kubisha kila kitu kama ambavyo bila aibu majuzi ulibisha suala la kutekwa Mo Dewji na kwa aibu ile ile uka-delete post! Hata kama ni ushabiki wa kisiasa, wa kwako unakufanya uonekane completely dumb!