Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

sahihi mkuu
 
Kwa mshahara huo ukikopea,utaishije kwa kiasi kinacho baki nazani utaishi maisha magumu sana
Mimi nina mshahara kama huyo jamaa ninaishi,niko kwangu,nina nyumba mbili, Sijawahi kulala njaa, mwaka huu january napeleka mtoto wangu English medium school,karo 2M,mwaka jana ndani ya miezi miwili nimekamilisha nyumba ya 13M.


Take home yangu ni 270K


Acha kuogopesha watu, jamaa kama anajiweza akope
 

Attachments

  • Screenshot_20240101-155617~2.png
    222.1 KB · Views: 29
Ushauri wangu uzoefu wangu kama hauna mazingira mengine ya rushwa achana na loan za mabank hawana huruma hai.
Ukizidiwa sana kopa usizidishe miaka 3.
Au nenda saccoss au weka standing order yaani unaimbia bank iingize pesa kwenye account yako nyingine kwa muda uutakao mfano mwaka au miaka.
Then unaichukua kwa pamoja.
Mfano laki 3.5 kwa mda wa miaka 5.
 
Kuna mwamba nilienda Bodi enzi izo ipo hapo jirani na Mwenge nikamkuta analalamika wanaondoka na hela yote akasema na kaazi naacha sasa tukose wote, aliacha kila mtu anacheka pale bodi
Safi Kabisa tumbaf!
 
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.

Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
Kama unakopa ili ujenge au ununue gari au uanzishe biashara kiongozi bora uache! Ila kama unakopa ili kujazia mtaji kwenye biashara iliyopo tayari nenda kakope!

Ukibugi kidogo hiyo miaka 9 utaishi kama shetani.
 
Mna majina makubwa jamiiforum kumbe tunawazidi mbali mno kwenye mpunga na mahede hede mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…