Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

kauze mikate na donat maeneo ya chuo cha MUM pale mida ya maghribi. utauza tu nakwambia...
Kwani Waumini'n wanakula sana mikate na donat wakati wa Maghrib au wakati wa Alfajir?
 
Anga lia hitaji muhimu ambayo mtaani kwenu nichanga moto
 
Inategemea upo wapi.
But biashara ya kwanza ukifanya kautafiti kidogo unaweza anza na kilimo.
 
Habari za jumamosi,naomba msaada nina mtaji wa laki mbili je naweza kufanya biashara ya nguo na ikawezekana?
 
nipo dar mkuu lakini nataka biashara ifanyike mbeya.
Mkuu njoo nikuelekeze biashara za nguo za ndani za wadada, chupi dazani(12) elfu 30000 unauza 40000, nyingine 36000 unauza 45000 mpk 50000, unaweza kuzifanyia reparking tukafanya sita pia. zipo boksa pia 3 elfu 12000 unauza 15000. Vest na nyingine mzigo kutoka Malaysia na Turkey.
 
nguo zingine tofauti na hzo hakuna mkuu alafu hakuna hata vitenge?
 
umesema form 6 tshirt elfu 5 nimekwambia elfu 3
Duuh! Kwanza umekosea hiyo Quote ni ya jamaa ukifuatilia hapo juu, ila sasa T-shirt ndugu form six nzuri ni kuanzia elfu 10000 ata hizo za jamaa sh 5000 bila shaka zitakuwa kituko sana. Mimi najua soko la nguo za ndani ndiyo naelewa vyema T-shirt huwa nadesign ila materials zake lazima yawe ya Hali ya juu.
 
Habari za jumamosi,naomba msaada nina mtaji wa laki mbili je naweza kufanya biashara ya nguo na ikawezekana?
biashara ya nguo ni ngumu kwa sasa Fanya hiv nunua nguo za ndani za like zidilia na splay za like AF unaingia mtaani mwenyew kuuza ukifungua ofisi utakula na tra na biashar zenyw sasa no ngumu ile mbaya
 
Habari za jumamosi,naomba msaada nina mtaji wa laki mbili je naweza kufanya biashara ya nguo na ikawezekana?
biashara ya nguo ni ngumu kwa sasa Fanya hiv nunua nguo za ndani za kike sidilia na splay AF unaingia mtaani mwenyew kuuza ukifungua ofisi utakula na tra na biashar zenyw sasa ni ngumu ile mbaya
 
p
poa nimekuelewa ndg ila naulizia vitenge huuzi vya mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…