Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ingekuwa ni January mwanzoni ungeanzisha mradi wa kuuza soksi maana kipindi hicho soksi za shule zinanunuliwa, pia ungekuwa mwenyeji umgeanzisha biashara ya udobi kikubwa ni kutafuta vijiwe vya kupiga vibao vya Dobi anapatikana pale tena ungetega maeneo yenye hostel na mtaji ungekuwa 50,000 tu ya kununua pasi na sabuni tu, nguo ungekuwa unakusanya unakwenda kufulia home.