ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Hivi hakuna vikundi au vikampuni vidogo vya kitanzania ktk mataifa hayo, waaminifu, ambao watanzania tunaweza kuwatumia kama middlemen kati ya hao masupliers na siye? Ingekuwa poa sana hapo. Hata mtu akienda huko kwa mara ya kwanza wampokee wao na kumrahisishia yote huko, ukiwepo na la lugha.