Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kua muwazi ni jambo Jema dogo, ila sasa yakupasa kueka wazi details like uko wapi,mjini au kijijini? Unapoishi ni kwako au umepanga? Hii itatusaidia kukushaur ww.

Kwa mfano uko kijijini na unaishi kwenu na Kuna eneo ambalo unaeza fuga kuku wa kienyeji huku unafanya shughuli nyingine kupata pesa ya kuwalishia kuku.

Kama uko mjini let's say Dar, unaeza tafuta kakijiwe ukaanza kukaanga chips kwa Huo mtaji Mdogo ulionao, unaeka chips na unadamka asbh unaanza kukaanga mihogo kwa ajili ya breakfast, saa nne tunaanza menya viazi kiasi kwamba saa tano chips tayar.

Kua msafi na wajali Wateja, naamini hadi umejiunga Jf Basi hata kama hujasoma sana lkn una uelewa mkubwa. Tumia akili yako kua mbunifu.

Katika kufanya yote usimwangalie mtu au kuwaza fulani atakuonaje, cha msingi zingatia unataka Kufika wapi.

Kukutia moyo tu, mm nlishauza chips nkiwa na degree moja lengo likiwa kupata mtaji wa kufungua kampuni ya ujenzi, nliuza for only one year huku nikilima na kufuga broilers ambao pia Nlikua nkiwakaanga hadi Miguu na vichwa vyao (vigondi) na kukamua utumbo wa kuku bila aibu, nliwauza masista duh na braza men kibao bila kujali tena kwa kuwaheshimu.

Boda Boda na dereva bajaji walikua wakiniagiza na kuntumikisha Lakini nliwaheshimu kwasababu ni Wateja, ktk kufanya hiyo kazi sikuwahi kuiwazia degree yangu hata chembe zaid ya kuwazia nataka Kufika wapi.

Baada ya mwaka mmoja nlianza usajili wa kampuni na baadae Mungu akanjalia nkavuna alizeti gunia 156 nkauza kila gunia elfu 54.

Nlitamani niendlee na chips Lakini nkaona hapana ngoja nkaitendee Haki ile degree. Ila kulima sijaacha had wa leo. Namshukuru Mungu ya Jana Si ya Leo.

Nimekupa kidogo tu ili usife moyo na uamini kila kitu kinaezekana

Thats great umenifunza kitu klchobeba mengi
 
Boss naomba namba yako ya simu please au Kuna yeyote mwenye namba ya Ndg. Mwasalemba naomba anisaidie.....tuliona jambo jema kuanzisha group whatsapp ili tubadilishane mawazo lakini imekuwa kimya sana.....naomba ntafutwe kwa namba 0786623636 mnisaidie namba ya mwasalemba
 
Jaman hata mwingine mwenye moyo wa kutusaidia tuliowengi aanzishe group tupate coarse kidogo
 
Iko vzuri hii,.ila kwa sie Wa yes yes mzungu kala mafenesi lazima uingizwe cha kuchuchumaa..
Mmmmhh kweli ila Mimi ndio changamoto zangu ila sioni aibu kuomba muongozo na kwangu sio sababu ya kutofanya jambo la muhimu
 
nicheki kaka ukikutana na ugumu oote...naeza shauri,au kabla ujamlipa nipe link za uyo supplier nimcheki then nicheki kwa simu nikupe namba ya forwarder...! usisite kiongozi sina malipo,labda niwe busy tu nikiwa na muda,tutashare uzoefu.
Mwenyezimungu akubariki mkuu ipo siku nitaomba muongozo wako tatizo rugha ndio mtihani sana ila nikipata muongozo wa ana kwa ana na kompyuta mpakato utanielekeza vizuri jinsi ya kubageni mtandaoni, nami sio mbaya sana kwenye maelekezo
 
ahsante sana kwa ukarimu wako Elimu ulioitoa wewe ni nadra sana kuipata bure ... naamini hujafanya bure coz mungu atakulipa inshaallah mungu akujaalie..... nimekuwa inspired 100%
THANKX MUCH
 
Wakuu habari zenu, naomba kwa wale ambao wanahitaji kujiunga Na group mtume namba zenu pm (kwa ambao hamjanitumia), usiweke kwenye uzi namba yako maana inakuwa ngumu kwangu kuiona sababu siingii Mara kwa Mara kwenye Huu uzi. Pm inakuwa rahisi sababu naiona pindi ukituma

Pia kama kuna ambaye katuma namba pm Lakini bado hajaunganishwa tafadhali naomba unitumie tena au pengine umetuma namba ambayo haina whatsap

Ahsante Na karibuni tusaidiane kujikwamua
Naomba uniunge bro 0754755989
 
Back
Top Bottom