kelvin kilalwe
Member
- Jan 8, 2016
- 66
- 35
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo ushaur wa wadauNimesoma michango yote sijapata hata kitu kimoja cha kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo ushaur wa wadauNimesoma michango yote sijapata hata kitu kimoja cha kufanya
hisa za vodacom unazipataje?nunua hisa za vodacom
Kua muwazi ni jambo Jema dogo, ila sasa yakupasa kueka wazi details like uko wapi,mjini au kijijini? Unapoishi ni kwako au umepanga? Hii itatusaidia kukushaur ww.
Kwa mfano uko kijijini na unaishi kwenu na Kuna eneo ambalo unaeza fuga kuku wa kienyeji huku unafanya shughuli nyingine kupata pesa ya kuwalishia kuku.
Kama uko mjini let's say Dar, unaeza tafuta kakijiwe ukaanza kukaanga chips kwa Huo mtaji Mdogo ulionao, unaeka chips na unadamka asbh unaanza kukaanga mihogo kwa ajili ya breakfast, saa nne tunaanza menya viazi kiasi kwamba saa tano chips tayar.
Kua msafi na wajali Wateja, naamini hadi umejiunga Jf Basi hata kama hujasoma sana lkn una uelewa mkubwa. Tumia akili yako kua mbunifu.
Katika kufanya yote usimwangalie mtu au kuwaza fulani atakuonaje, cha msingi zingatia unataka Kufika wapi.
Kukutia moyo tu, mm nlishauza chips nkiwa na degree moja lengo likiwa kupata mtaji wa kufungua kampuni ya ujenzi, nliuza for only one year huku nikilima na kufuga broilers ambao pia Nlikua nkiwakaanga hadi Miguu na vichwa vyao (vigondi) na kukamua utumbo wa kuku bila aibu, nliwauza masista duh na braza men kibao bila kujali tena kwa kuwaheshimu.
Boda Boda na dereva bajaji walikua wakiniagiza na kuntumikisha Lakini nliwaheshimu kwasababu ni Wateja, ktk kufanya hiyo kazi sikuwahi kuiwazia degree yangu hata chembe zaid ya kuwazia nataka Kufika wapi.
Baada ya mwaka mmoja nlianza usajili wa kampuni na baadae Mungu akanjalia nkavuna alizeti gunia 156 nkauza kila gunia elfu 54.
Nlitamani niendlee na chips Lakini nkaona hapana ngoja nkaitendee Haki ile degree. Ila kulima sijaacha had wa leo. Namshukuru Mungu ya Jana Si ya Leo.
Nimekupa kidogo tu ili usife moyo na uamini kila kitu kinaezekana
Mimi naona angeuza vyombo mtaan kama vile bakuri ,sahani, majagi , vikombe, sufuria,mabeseni n.k.. atauza mara moja yapili anajikuta anaenda Dukani na la 150,000 au 200,000Senetor uza matunda.
Mwasalemba hatoi mrejesho aseeJaman hata mwingine mwenye moyo wa kutusaidia tuliowengi aanzishe group tupate coarse kidogo
Mmmmhh kweli ila Mimi ndio changamoto zangu ila sioni aibu kuomba muongozo na kwangu sio sababu ya kutofanya jambo la muhimuIko vzuri hii,.ila kwa sie Wa yes yes mzungu kala mafenesi lazima uingizwe cha kuchuchumaa..
Sawa tutafanya hivyoHahaha...aya bhana,lkn jaribu kutumia WeChat ina translate poa
hili group bado lipo wangine kama tunachelew kuaga umaskini thread nzur sana hii namba yngu hii0759500807Mwasalemba Tunahitaj msaada wako Tulipofikia wengine si pabaya
Mwenyezimungu akubariki mkuu ipo siku nitaomba muongozo wako tatizo rugha ndio mtihani sana ila nikipata muongozo wa ana kwa ana na kompyuta mpakato utanielekeza vizuri jinsi ya kubageni mtandaoni, nami sio mbaya sana kwenye maelekezonicheki kaka ukikutana na ugumu oote...naeza shauri,au kabla ujamlipa nipe link za uyo supplier nimcheki then nicheki kwa simu nikupe namba ya forwarder...! usisite kiongozi sina malipo,labda niwe busy tu nikiwa na muda,tutashare uzoefu.
Roho ya nyoka iyo kutaka kumgonga kila mtu, wasomi awaendeshi nchi Bali wafanyabiashara wasiosoma kina baresa ndio wadau wa kulipa kodiMh! Mwalimu mwenyewe hata kuandika hajui. Kaaaazi kweli kweli!
Mmmmmhh sijui Mimi nimetuma namba pm naomba mwenyezimungu anihadinimevutiwa sana na hii thread sema ni.ya mda.sijui kama.bado kutakuwa nafasi kwa group la whasap
Naomba uniunge bro 0754755989Wakuu habari zenu, naomba kwa wale ambao wanahitaji kujiunga Na group mtume namba zenu pm (kwa ambao hamjanitumia), usiweke kwenye uzi namba yako maana inakuwa ngumu kwangu kuiona sababu siingii Mara kwa Mara kwenye Huu uzi. Pm inakuwa rahisi sababu naiona pindi ukituma
Pia kama kuna ambaye katuma namba pm Lakini bado hajaunganishwa tafadhali naomba unitumie tena au pengine umetuma namba ambayo haina whatsap
Ahsante Na karibuni tusaidiane kujikwamua