Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

idea nzur ila nna swal yan io lak3 yote inatumika kwenye kuku tu?.. suala la banda , msoc na dawa lpo nje ya hyo pesa?
Labda kuku wa kienyeji wanaojitafutia chakula wenyewe na si kuku wa kisasa.
 
mkuu umepata like nyingi sana
 
mkuu smart hatakiw kuuza smartphone ni kitu kama utakitumia vizur kitakupa michongo mingi sana mitandaoni
 
300,000
Gunia la viazi vitamu shambani ni 60000
Mabibo sokoni 100000
Nunua gunia 4 kwa 240000
Nauli mpaka shambani ni 20000
Inabaki 40000 ya nauli ya mzigo mpaka sokoni.
Ukiuza utapata 400000 toa mtaji wako 300000 unabaki na 100000.
Kutokea hapo unaweza kujiongezaa ndugu.
 
Fingua hata genge la nyanya , faida utapata tu, ila uwe bahili sana ndio utaona faida yako
 
Kama unafanya hii kitu tuwasiliane tufanye kitu # 0753543236
 


Nimeipenda hii.

-Kaveli-
 
Mkuu unamaanisha viazi vya chips na sio viazi vitamu kama nilivokuelewa hivi..
 
Good idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…