kuntamanyangwi
Member
- Apr 24, 2017
- 95
- 70
Huku biashara nyingi mkuuSasa aje kufanya mini? Au unataka kumfundisha uganga eti
No thank you broWewe utakuwa tapel si bure
Biashara gani huko polini zaidi ya kulima tuu na uchawi tuu na ukianzisha biashara lazima uvae hirizi bila hirizi hutoki na hata ukitoka ni kwa mbinde sana duhHuku biashara nyingi mkuu
Biashara ya kijinga hiyo mkuu,,, unamtaka aunguwage na moto tuu ,,,anza biashara ya baba lishe au mama lishe...hiyo pesa inatosha kabisa, lakini nguo mmh!!
Hivi ndivyo matapeli washamba wa mikoani huwatapeli wakuja wenzao kwa kuweka namba ya simu ili iwe kama ulimbo kunasa na wasiokuwemo.[emoji57]Kiongozi njoo sumbawanga. Laki 2 mwachie Mkeo alafu njoo na mtaji wa laki tatu huku kwetu inatosha kabisa kukuwezesha kupata elfu 50 per day. Ukifika nicheki through 0765359154. Baada ya mwaka mmoja utaenda mkoa unaotaka kufungua biashara uitakayo. Mwabeja baba
Kiongozi njoo sumbawanga. Laki 2 mwachie Mkeo alafu njoo na mtaji wa laki tatu huku kwetu inatosha kabisa kukuwezesha kupata elfu 50 per day. Ukifika nicheki through 0765359154. Baada ya mwaka mmoja utaenda mkoa unaotaka kufungua biashara uitakayo. Mwabeja baba
Wew ina maana hao watu wa sumbawanga wooote hawaitaki hiyo fursa ya kupata elf 50 daily au ndo hawana mitaji?Huku biashara nyingi mkuu
Mkuu,Utapeli haujawahi kumuacha mtu salamaWew ina maana hao watu wa sumbawanga wooote hawaitaki hiyo fursa ya kupata elf 50 daily au ndo hawana mitaji?
Ajifunze how to trade with forex tu....hatojutiaForex
KivpAjifunze how to trade with forex tu....hatojutia
dah [emoji22]fanya biashara ya starehe zote unazozikosa pindi huna hela, ukimaliza pesa zote faida yake utaiona
dahMkuu nenda Morogoro au Arusha nunua bange uje kuuza Dar es Salaam
hivi zile chupi wanazouza 1000 kule kariakoo zinapatikana wapi kwa bei ya jumla?Mkuu njoo nikuelekeze biashara za nguo za ndani za wadada, chupi dazani(12) elfu 30000 unauza 40000, nyingine 36000 unauza 45000 mpk 50000, unaweza kuzifanyia reparking tukafanya sita pia. zipo boksa pia 3 elfu 12000 unauza 15000. Vest na nyingine mzigo kutoka Malaysia na Turkey.