Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Habari wadau wa JF nipeni ushauri mana vyuma vimekaza mtaan. Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Moro kwa sasa ila nafanya biashara popote..
Maoni ya wengi yanalenga kukukatisha tamaa
usiwasikilize angalia mbele..
njoo PM
 
Nunua smartphone anza udalali and promote on social media. Anza na ma appartments. Network na other dalalis.
 
Forex traiding ndo mpango mzima, soma nyuzi za Ontario kama hujui chochote kuhusu forex.
Hii forex nimeisikiai ila bado cjaifahamu vizur. Ila ningepata elimu kidogo ya kuanzia ningeshiriki
 
Nashukuru kwa maoni yenu hasa yale ya kujenga. Bado natafakari maana maisha haya yamekuwa kama kaa la moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…