Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Ukonga Mombasa kuna eneo langu nliwakodsha taasis moja wanauza sana ila kod wananlipa kidg ...so natafta watu wengne au nkikosa ntaweka mwenyew niongese vijiwe ..coz kuna biashara sana
Nakutafuta nipe hiyo sehemu
 
N simple tafuta eneo zur ..sabb kuni ndo habar ya mjin sasa jpo weng hawajaistukia .....then tafta MTU mwenye usajili ka mm ataenda kukuletea mzgo sabb ww huna vibal ....kwa ufup fuso kubwa kwa dar lenye kuni 3000 huw n milion lak 9 .....kuni moja dar n buku so utauza milion 3 faida milion lak 1 ndan labda ya wik mbili au tatu

Kenta kuni 1600 kuletewa milion ukiuza faida lak sita ndan hta ya wiki mbili au chini ya hapo sabb n ndg sana hizo kwa sehem yeny biashara ka ya kwetu

So jarbun .......
Hiyo million ni pamoja na gharama ya kununua na vibarua? Kupakia na kupakua
 
Back
Top Bottom