Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwa sasa hivi hizo kamata kamata hata sikushauri mambo ya kuni utalia pale utakapokutana na wale wazee wa pori na kushusha mzigo woooote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK n hivi .....kufanya biashara hii huku mjini hakuhitaj uwe na vibal toka maliasili ila anaekuletea mzigo lazma awe na usajili toka maliasili ..........unaweza kutafta usajil wako mwenyew ila hutolewa kwa mwaka Mara moja mwez wa sita had wa Tisa .........mizigo n ka ifuatavyo ...Mueleweshe vizuri huenda akaongeza ata kwa kukopa. Wapi atoe hizo kuni, usafiri, apeleke wapi na gharama nyingine
Kamata kamata n kwa watu waso na vibal na usajili ...alaf kwanza utazpitishaje na kuztoa kjjin kuleta mjin coz check point znaanzia kijijin kabla ya mjin ......ka huna vibal unatafuta MTU mwenye usajili atakukatia kitu kinaitwa 'Transit pass' au TP ....hii ukifka check point ndo wanaikagua na kugonga mihul .....so n biashara nzur imetusaidia hta nikaacha kaz yang ya ualimuKwa sasa hivi hizo kamata kamata hata sikushauri mambo ya kuni utalia pale utakapokutana na wale wazee wa pori na kushusha mzigo woooote.
N simple tafuta eneo zur ..sabb kuni ndo habar ya mjin sasa jpo weng hawajaistukia .....then tafta MTU mwenye usajili ka mm ataenda kukuletea mzgo sabb ww huna vibal ....kwa ufup fuso kubwa kwa dar lenye kuni 3000 huw n milion lak 9 .....kuni moja dar n buku so utauza milion 3 faida milion lak 1 ndan labda ya wik mbili au tatuBiashara ya kuni inafanyikaje hebu dadavua kidogo mkuu
Sawa bro..... nimekupata.Kamata kamata n kwa watu waso na vibal na usajili ...alaf kwanza utazpitishaje na kuztoa kjjin kuleta mjin coz check point znaanzia kijijin kabla ya mjin ......ka huna vibal unatafuta MTU mwenye usajili atakukatia kitu kinaitwa 'Transit pass' au TP ....hii ukifka check point ndo wanaikagua na kugonga mihul .....so n biashara nzur imetusaidia hta nikaacha kaz yang ya ualimu
KaribuSawa bro..... nimekupata.
weka namba tukutafute,Karibu
Wapiga dili hao.... kikubwa mtu mwenyewe kujiongeza.Kuna statement ya njo pm hua inakaa kitapeli tapeli kwenye ishu kama hizi
Me nmesajiliwa dar so tunaleta popote dar ...na hta ka sio mm ila kuwa makini kuni nyngne s nzur ...kuni nzur n mti wa mchaka au mchalaka na pia mpingo hio ndo inafaa kwa kuni ....0685580057weka namba tukutafute,
lakini umezungumzia uhitaji kwa watu wa Ukonga Mombasa je kama mtu haishi maeneo ya huko inakuaje kama anaishi Mikocheni au Sinza au Tandale au Buguruni je biashara hii itamfaa???
Ukonga Mombasa kuna eneo langu nliwakodsha taasis moja wanauza sana ila kod wananlipa kidg ...so natafta watu wengne au nkikosa ntaweka mwenyew niongese vijiwe ..coz kuna biashara sanaweka namba tukutafute,
lakini umezungumzia uhitaji kwa watu wa Ukonga Mombasa je kama mtu haishi maeneo ya huko inakuaje kama anaishi Mikocheni au Sinza au Tandale au Buguruni je biashara hii itamfaa???
hujanijibu swali.... biashara hii inawafaa watu wa ukanda wa ukonga na vitongoji vyake??Me nmesajiliwa dar so tunaleta popote dar ...na hta ka sio mm ila kuwa makini kuni nyngne s nzur ...kuni nzur n mti wa mchaka au mchalaka na pia mpingo hio ndo inafaa kwa kuni ....0685580057
kumbe wewe hufanyi biashara hii bali watu uliowakodisha.... nikajua ni wewe.Ukonga Mombasa kuna eneo langu nliwakodsha taasis moja wanauza sana ila kod wananlipa kidg ...so natafta watu wengne au nkikosa ntaweka mwenyew niongese vijiwe ..coz kuna biashara sana
Mambo dadaKwa sasa hivi hizo kamata kamata hata sikushauri mambo ya kuni utalia pale utakapokutana na wale wazee wa pori na kushusha mzigo woooote.
Nmetolea mfano tu napoish mm ....biashara iko dar yote bugurun ...tandale ...mbagala ....magomen usiseme na hta Mikoan piahujanijibu swali.... biashara hii inawafaa watu wa ukanda wa ukonga na vitongoji vyake??
Na kwann wao wanapenda sana kuni wanapikia au wana kazi zingine wanafanyia??
Weng wanaztumia kupikia hasa wafanyabiashara wakaangaj samak na mfano wa hayohujanijibu swali.... biashara hii inawafaa watu wa ukanda wa ukonga na vitongoji vyake??
Na kwann wao wanapenda sana kuni wanapikia au wana kazi zingine wanafanyia??
Ww hii kazi unaifanya auOK n hivi .....kufanya biashara hii huku mjini hakuhitaj uwe na vibal toka maliasili ila anaekuletea mzigo lazma awe na usajili toka maliasili ..........unaweza kutafta usajil wako mwenyew ila hutolewa kwa mwaka Mara moja mwez wa sita had wa Tisa .........mizigo n ka ifuatavyo ...
Mita za ujazo 24 fuso kubwa n kuni 3000 ...kuletewa kwa dar mara nying n milion lak 9 ...kuni moja huku buku so ukiuza utapata milion 3 na faida milion lak moja
Mita za ujazo 12 kenta huwa n lak 9 had milion ...kuni 1600 ...so ukiuza utapata faida ya lak 7 ......
Note :kuni hizo n kias kidg kwa eneo lenye uhitaj mkubwa wa kuni ka huku kwetu ukonga Mombasa .......mm nna vibal toka maliasili ila unaweza mtafut yeyote mweny vibal akakuletea
tatufa kitu au jambo ambalo ukiliona lina hitajika maala fulani na halipo unatusua.tatizo la vijana au watu utaka kukalia sehemu mmoja wakiamini kuwa watafanikiwa.mfano kuna sehemu unaweza kupeleka mambo ya kupika chipsi za bongo zilivo na madoido ukapeleka iringa,rukwa kanda ya ziwa na ukapiga pesa kutokana na sehemu hizo bado wana mtindo wakizamani si kama huku,Wakuu,
Kwa wale wenye uelewa wa biashara za kukupa tija maana kwa sasa hali halisi kwa pesa ngumu tusaidiane kwa wale wenye nia ya kuanzisha biashara kwa sasa nawasilisha. Nb; mtaji wa laki 4-5