Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mueleweshe vizuri huenda akaongeza ata kwa kukopa. Wapi atoe hizo kuni, usafiri, apeleke wapi na gharama nyingine
OK n hivi .....kufanya biashara hii huku mjini hakuhitaj uwe na vibal toka maliasili ila anaekuletea mzigo lazma awe na usajili toka maliasili ..........unaweza kutafta usajil wako mwenyew ila hutolewa kwa mwaka Mara moja mwez wa sita had wa Tisa .........mizigo n ka ifuatavyo ...

Mita za ujazo 24 fuso kubwa n kuni 3000 ...kuletewa kwa dar mara nying n milion lak 9 ...kuni moja huku buku so ukiuza utapata milion 3 na faida milion lak moja

Mita za ujazo 12 kenta huwa n lak 9 had milion ...kuni 1600 ...so ukiuza utapata faida ya lak 7 ......

Note :kuni hizo n kias kidg kwa eneo lenye uhitaj mkubwa wa kuni ka huku kwetu ukonga Mombasa .......mm nna vibal toka maliasili ila unaweza mtafut yeyote mweny vibal akakuletea
 
Kwa sasa hivi hizo kamata kamata hata sikushauri mambo ya kuni utalia pale utakapokutana na wale wazee wa pori na kushusha mzigo woooote.
Kamata kamata n kwa watu waso na vibal na usajili ...alaf kwanza utazpitishaje na kuztoa kjjin kuleta mjin coz check point znaanzia kijijin kabla ya mjin ......ka huna vibal unatafuta MTU mwenye usajili atakukatia kitu kinaitwa 'Transit pass' au TP ....hii ukifka check point ndo wanaikagua na kugonga mihul .....so n biashara nzur imetusaidia hta nikaacha kaz yang ya ualimu
 
Biashara ya kuni inafanyikaje hebu dadavua kidogo mkuu
N simple tafuta eneo zur ..sabb kuni ndo habar ya mjin sasa jpo weng hawajaistukia .....then tafta MTU mwenye usajili ka mm ataenda kukuletea mzgo sabb ww huna vibal ....kwa ufup fuso kubwa kwa dar lenye kuni 3000 huw n milion lak 9 .....kuni moja dar n buku so utauza milion 3 faida milion lak 1 ndan labda ya wik mbili au tatu

Kenta kuni 1600 kuletewa milion ukiuza faida lak sita ndan hta ya wiki mbili au chini ya hapo sabb n ndg sana hizo kwa sehem yeny biashara ka ya kwetu

So jarbun .......
 
Kamata kamata n kwa watu waso na vibal na usajili ...alaf kwanza utazpitishaje na kuztoa kjjin kuleta mjin coz check point znaanzia kijijin kabla ya mjin ......ka huna vibal unatafuta MTU mwenye usajili atakukatia kitu kinaitwa 'Transit pass' au TP ....hii ukifka check point ndo wanaikagua na kugonga mihul .....so n biashara nzur imetusaidia hta nikaacha kaz yang ya ualimu
Sawa bro..... nimekupata.
 
3590c3254632ab2b3c532cd25ee19988.jpg
 
weka namba tukutafute,
lakini umezungumzia uhitaji kwa watu wa Ukonga Mombasa je kama mtu haishi maeneo ya huko inakuaje kama anaishi Mikocheni au Sinza au Tandale au Buguruni je biashara hii itamfaa???
 
Me nmesajiliwa dar so tunaleta popote dar ...na hta ka sio mm ila kuwa makini kuni nyngne s nzur ...kuni nzur n mti wa mchaka au mchalaka na pia mpingo hio ndo inafaa kwa kuni ....0685580057
 
Ukonga Mombasa kuna eneo langu nliwakodsha taasis moja wanauza sana ila kod wananlipa kidg ...so natafta watu wengne au nkikosa ntaweka mwenyew niongese vijiwe ..coz kuna biashara sana
 
hujanijibu swali.... biashara hii inawafaa watu wa ukanda wa ukonga na vitongoji vyake??
Na kwann wao wanapenda sana kuni wanapikia au wana kazi zingine wanafanyia??
 
kumbe wewe hufanyi biashara hii bali watu uliowakodisha.... nikajua ni wewe.
 
hujanijibu swali.... biashara hii inawafaa watu wa ukanda wa ukonga na vitongoji vyake??
Na kwann wao wanapenda sana kuni wanapikia au wana kazi zingine wanafanyia??
Nmetolea mfano tu napoish mm ....biashara iko dar yote bugurun ...tandale ...mbagala ....magomen usiseme na hta Mikoan pia
 
hujanijibu swali.... biashara hii inawafaa watu wa ukanda wa ukonga na vitongoji vyake??
Na kwann wao wanapenda sana kuni wanapikia au wana kazi zingine wanafanyia??
Weng wanaztumia kupikia hasa wafanyabiashara wakaangaj samak na mfano wa hayo
 
OK n hivi .....kufanya biashara hii huku mjini hakuhitaj uwe na vibal toka maliasili ila anaekuletea mzigo lazma awe na usajili toka maliasili ..........unaweza kutafta usajil wako mwenyew ila hutolewa kwa mwaka Mara moja mwez wa sita had wa Tisa .........mizigo n ka ifuatavyo ...

Mita za ujazo 24 fuso kubwa n kuni 3000 ...kuletewa kwa dar mara nying n milion lak 9 ...kuni moja huku buku so ukiuza utapata milion 3 na faida milion lak moja

Mita za ujazo 12 kenta huwa n lak 9 had milion ...kuni 1600 ...so ukiuza utapata faida ya lak 7 ......

Note :kuni hizo n kias kidg kwa eneo lenye uhitaj mkubwa wa kuni ka huku kwetu ukonga Mombasa .......mm nna vibal toka maliasili ila unaweza mtafut yeyote mweny vibal akakuletea
Ww hii kazi unaifanya au
 
Wakuu,

Kwa wale wenye uelewa wa biashara za kukupa tija maana kwa sasa hali halisi kwa pesa ngumu tusaidiane kwa wale wenye nia ya kuanzisha biashara kwa sasa nawasilisha. Nb; mtaji wa laki 4-5
tatufa kitu au jambo ambalo ukiliona lina hitajika maala fulani na halipo unatusua.tatizo la vijana au watu utaka kukalia sehemu mmoja wakiamini kuwa watafanikiwa.mfano kuna sehemu unaweza kupeleka mambo ya kupika chipsi za bongo zilivo na madoido ukapeleka iringa,rukwa kanda ya ziwa na ukapiga pesa kutokana na sehemu hizo bado wana mtindo wakizamani si kama huku,
 
Back
Top Bottom