kinundu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,029
- 2,158
Kiukweli forex atapotea kama anakamtaji hako ka mbuziyani niliona kuna watu wanasema hawakuweza kutred vizuri wakati wanaanza na wengine wakaliwa hadi mishahara yao ya mwezi sasa jamani tupeni muongozo kwa sisi tunaopenda kufanya hii biashara na kama huyu mwenye laki 3 akipoteza sijui ataipata wapi kirahisi kwa hali hii