Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Ushauri jamani kwa wadau wenye uzoefu na hii biashara,maeneo Lindi na mtwara kwa wenye ujuzi wa hii biashara maeneo hayo asanteni
 
Usikopeshe hapo utalipwa penzi. Na biashara itakuwa mbaya.
Wauza Urembo wanahonga sana
 
Kodi shamba.
Nunua mbegu za maharage
Lima katika maeneo yanayostawi.
Baada ya siku miamoja kauze
 
Uko wapi? Wewe kwa mtazamo wako uliwaza ulime nini?. Tuanzie hapo ili tuweze kushauriana.
Nipo dar (mbezi beach).. Wazo la kulima limekuja tu, na sijui nilime. Nisaidie kwa mawazo.
 
Mkuu ungetuambia alifanya biashara gani mkuu hapo umetuacha njia panda tu funguka na sisi tuzame kwenye hiyo biashara
 
Hbari wapendwa... Nilikuwa naomba msaada wa
wazo la kibiashara ikiwezekana na mazingra
yake ... Nina mtaji wa kati ya 200,000
-300,000... ambayo Naitaji faida ya Elfu 5 tu
kila siku..... Naishi Dar, Ukonga.. 0657230355.
 
Habari zenu ndugu,Nipo dodoma , nina mtaji wa laki mbili (200000) nimefanya kazi ngumu hadi kuupata ikiwa ni pamoja na kubeba zege na kuchimba mitaro.
Kwa wale wajuzi wa maswala ya biashara nipeni msaada wa wazo la biashara .japo nipumzike na mimi na hizi kazi ngumu .
Na mungu awabariki
 
Tafuta mwanvuli kanunue urembo Helen, Bangir n.k nenda maeneo ya sokoni weka meza uza
 
Nadhani ungeweza kuangalia biashara ambayo hapo ulipo mtaani kwenu ni adimu na ww ufanye hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…