Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Ni rahisi tu unafanya kama vile alivyofanya Elon musk, sio 300,000/= yote anaiweka sehemu moja.

Anaweka sehemu 50000/= ambayo kwa siku itampa mfano 10,000/=

Sehemu 100,000/= ambayo kwasiku itampa 3000/=

100,000/= ambayo kwa siku itampa mfano 5000/=

50000/= sehemu kwa siku inampa kiasi furani.

Uwo ni mfano wa mchanganyuo usizibishie izoyfaida sasa hapo hapo mwenyewe kutumia ubongo asilimia zote kujua biashara gani utaweka kiasi furani ikupe furani kwa siku.
baada ya mwezi biashara zote zimekufa
 
kwa huku mpunguzi nakodi shamba 50,000 nanunua mbegu ya matikiti 120,000 mbolea 50,000 inayobaki ni kwaajili ya madawa. Halafu shambani naingia mwenyewe
Wasalimie Huko mpunguzi na mlowa bararani

Ova
 
kwa huku mpunguzi nakodi shamba 50,000 nanunua mbegu ya matikiti 120,000 mbolea 50,000 inayobaki ni kwaajili ya madawa. Halafu shambani naingia mwenyewe
hii hesabu na matokeo yake huwa ni faida jias gani maana kuna jamaa alinipaga semina ya hii aina ila alinishauri kuwa ni kilimo kinachofaa kama kikilimwa maeneo kama morogoro, mtwara, dsm baadhi ya maeneo na lindi pia
 
Habari za majukumu wana jf wenzangu nimekuja kwenu kupata ushauri na mawazo kuhusu ujasiliamali Nina kiasi cha sh.laki 5 nataka nibuni biashara dar Nifanye ujasiliamali gani kwa dar maana nimewaza kwamuda mrefu sana sijapata jibu wadau karibuni tupeane mawazo au ushauri .

Sent using [url iPhone x
 
Ongezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
 
Lete nikushikie ukijuwa cha kufanya utakuja kuzichikuwa.
 
Kama hamna ushauri wa kumpa kuhusu biashara ni vizuri mngekaa kimya kumbukeni huku sio jukwaa la chit chat au jokes ni jukwaa la biashara.
Mkuu hawa wengine hawajijui hata jinsia zao ndiomana wanashindwa kuelewa wapo jukwaa gani

Kifo kipo
 
Ongezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
Asante kwa ushauri mkuu nifatilia mana sijawahi kusikia hicho kitu

Kifo kipo
 
Habari za majukumu wana jf wenzangu nimekuja kwenu kupata ushauri na mawazo kuhusu ujasiliamali Nina kiasi cha sh.laki 5 nataka nibuni biashara dar Nifanye ujasiliamali gani kwa dar maana nimewaza kwamuda mrefu sana sijapata jibu wadau karibuni tupeane mawazo au ushauri .

Sent using [url iPhone x
Uza na hiyo iphoneX upate mtaji mkubwa zaidi
 
Ongezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
T bills ni kitu gani mkuu, kwa hapo nna ushamba ntoe tongo kidogo!
 
chukua laki 2 cheza tatu mzuka, laki mbili biko na laki moja cheza moja special, kama unaogopa hapo nenda kaanzishe mtaji wa kuchoma mahindi unalipa sana ukipata kijiwe kizuri
 
Back
Top Bottom